Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gonga hapa. Nyerere Baba Wa Umasikini Tanzania NYERERE IS DEAD BUT..... - YouTube
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wandugu mnijuze ile inshu ya"UNGA"(MADAWA YA KULEVYA ya bln9 imefikia wapi??)
0 Reactions
12 Replies
2K Views
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na...
0 Reactions
80 Replies
10K Views
Kwa mara nyingine tena CCM imejikuta katika uchaguzi ambao unakifanya chama kiwe na kionyeshe msimamo wa sera zake, hasa mapambano dhidi ya ufisadi na kuvuana magamba. Kipimo cha kwanza kilikuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanasiasa wanafiki sana angalia hapa jamaa alivyo wadondokea wapiga kura. Hao hao wamemchagua leo hii anawakimbia na kujifungia kwenye v8 huku hao walio mpaka kibarua cha kuwatumikia wakitaabika...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamani habari?,hvi mwanasheria na mwanaharakati machachari MSEMAKWELI yupo wapi?,na je harakati zake zimeishia wapi au nae kishamezwa na mafisadi wa nchi?. Asanteni!.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rushwa ambayo ilikuwa ikigawiwa nje nje wakati wa uchaguzi wa kumtafuta mwakilishi wa CCM na kuripotiwa na magazeti karibu yote hapa nchini wakiwemo bahadhi ya wagombea ndani ya CCM kutishia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
James Magai MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh20bilioni, washtakiwa wawili wa kesi ya uvuvi haramu katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikufuatilia kwa karibu sana mijadala mingi sana kuhusu wanasiasa wetu hapa Nchini, lakini kitu kikubwa nilichokiona ni kwamba wanasiasa hawa watatu kwa sasa hvi ndiyo wanaoongoza kwa...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari tulizozipata wakati tukienda mitamboni zinasema, kwa mara nyingine, jana saa 12 jioni, polisi mjini Songea walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwaokoa watu wawili waliokuwa wakipigwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Muda fulani mwaka jana nilisikia upumbavu uliohusiana na njama za serikali kutaka kuwaachia huru wale washenzi waliotumwa na utawala wa Mkapa kumuua mpambanaji aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Usalama...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani tabia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutumia magari ya serikali kwa shughuli za chama hasa katika sherehe mbalimbali za chama hicho. Akihutubia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye nia nzuri na nchi yangu naomba kujua cost za safari za huyu kiongozi wa nchi hii,jamani imekuwa too much,huwezi kutoka London Leo na Kesho tena ukapanda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Joseph Mihangwa, Raia Mwema Wakati akijiandaa kung’atuka urais, Mwalimu Nyerere aliwauma sikio marafiki na wasiri wake wa karibu kwamba, safari hii (mwaka 1985) angependelea Rais wa Muungano...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amewahakikishia wapenzi na wanachama wa CHADEMA kwamba chama hicho kitashinda kwa kishindo katika uchaguzi wa Ubunge jimbo...
7 Reactions
112 Replies
9K Views
Mtoto Shangwe Mtaula (16) mkazi wa Mabatini akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma alikolazwa baada ya kulipukiwa na bomu la machozi wakati wa vurugu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana Jf mnamkumbuka jembe huyu Tido Muhando? Sote tunakumbuka enzi za Radio Tanzania (RTD), na TVT. Sasa vyombo hivi vina sura mpya na muonekano mpya kabisa, hatutakuwa na fadhila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
23.1K 92.3K 0digg RAIS Jakaya Kikwete, amekiri wazi kuwepo kwa vuguvugu la upinzani lenye nguvu kubwa hapa nchini, na kuonya kwamba, iwapo Chama cha Mapinduzi (CCM), hakitajirekebisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika mkutano wa sita wa Bunge la Tanzania,ulioahirishwa saa 11 jioni, Februari 10, mwaka huu kinyume cha hali ya kawaida, mjadala wa posho ulifunika karibu kila kitu. Na bila shaka, wito wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…