Safari za Kikwete zinagharimu kiasi gani

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye nia nzuri na nchi yangu naomba kujua cost za safari za huyu kiongozi wa nchi hii,jamani imekuwa too much,huwezi kutoka London Leo na Kesho tena ukapanda ndege kwenda Botswana,ina maana huyu mkuu na kundi lake wanatudharau kiasi fulani labda wanajua hatujui gharama za safari zao au labda wanajua hatujui haki yetu kwamba tunaweza kusimamisha hizo safari,nini maana ya Presidency??nilifikiri ni kundi la watu wanaofanya kazi pamoja,kama ni hivyo kwa nini wasitumwe watu ambao hawatatumia gharama kubwa ili kumwakilisha Rais wa nchi hii??nimechukia lakini imebidi niwe mpole!
 
Angalau angekuwa anajifunza au kuazima chochote kizuri kutokana na ziara hizi. BDP ya Botswana ina mengi ya kuifundisha CCM ya Tanzania. BDP imetawala Botswana kwa mafanikio makubwa mno.
 
Nadhani anataka kuweka rekodi ya kuwa rais wa kwanza duniani kutumia nusu ya muda wake akiwa ikulu kwa kusafiri .Kwa hali hiyo kwa kipindi cha miaka kumi atakayokuwa ikula miaka mitano nje ya nchi yake.
 
anatia aibu huyu mzee...yaani vitu anavoongea kwenye hii mikutano maefu tu...ra mia angemtuma prof maji mar
 
Back
Top Bottom