Ile inshu ya "UNGA"YA Binti wa Amatusi Liumba vp? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ile inshu ya "UNGA"YA Binti wa Amatusi Liumba vp?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHAI CHUNGU, Feb 24, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wandugu mnijuze ile inshu ya"UNGA"(MADAWA YA KULEVYA ya bln9 imefikia wapi??)
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  watoto wa wakubwa hawafungwi tanzania.
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Majibu ya Polisi! "eti ilikuwa chokaa tu sio madawa ya kulevya kama livyo ripotiwa... tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza..!!":lol::lol:
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Duh!
  Mkuu hiyo chokaa ya bln9 ilikaaje kwenye bot ya watu3???Mhh,hi sasa balaa!
   
 5. m

  massamu Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Duuu iyo kali.:lol:
   
 6. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180

  She wasn't part of it, she simply was accompanying her boyfriend without knowing the set up. Hata mahakamni hawakumpeleka, ila kesi bado inaendelea kwani kuna watu hawajakamatwa.
   
 7. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ndivyo itakavyo kuwa

  ama wapo radhi wakae kimya tu na kuipotezea,kwani ile ya Mtoto wa mengi kutaka kubambikiwa iko wapi,kwishnei,sasa jaribu wewe pangu pakavu tena beba sembe tu jifanye ni unga wa kulevya ,imekula kwako
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  ndio imetoka hivyo
   
 9. Wakusini

  Wakusini JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 80
  Amma kweli maskin hana haki Tanzania hii,magereza zimejaza wezi wa kuku tu!!
   
 10. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mchezo mchafu!apo watasema ni chokaa afu watamfungulia shitaka ili ashinde apewe fidia ya mabilioni.
   
 11. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Washavuta milioni zao kadhaa, maisha yanaendelea...
   
 12. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si kadem ka mkuu wa kaya? Nani afurukute asiyejipenda? Ole wake mwenye kisebusebu!!!
   
 13. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tamu ila ngumu kumedha...
   
Loading...