Wauaji wa Jenerali Kombe: Njama za Kuwaachia huru ziliishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wauaji wa Jenerali Kombe: Njama za Kuwaachia huru ziliishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndyoko, Feb 23, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Muda fulani mwaka jana nilisikia upumbavu uliohusiana na njama za serikali kutaka kuwaachia huru wale washenzi waliotumwa na utawala wa Mkapa kumuua mpambanaji aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Marehemu Jenerali Kombe.

  Naomba mnijuze hivi huo 'upumbavu' ambao utawala wa awamu ya nne ulitaka kuufanya uliishia wapi. Nakumbuka kulikuwa na 'public outcry' kupinga ujinga huo wa serikali ya awamu ya nne wa kutaka kuwaachia huru wale polisi wauaji.

  Nasubiria wajemeni!
   
 2. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ZOMBE ndo nani huyo? wa nchi gani?
   
 3. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  retired director wa usalama wa taifa(sio TISS by then)...., alitokea jw, highly experinced in military intel, alikua precious asset kwny department ya ujasusi wa jeshi ambayo saivi inaitwa central military intelligence,
   
 4. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  ila mtoa mada alitakiwa aandike kombe na sio zombe
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Sorry ndugu, ni Kombe sio Zombe!
   
 6. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakati unasikia hicho ulichosikia hao wauaji walikuwa tayari uraiani na mmoja alifanya hayo mahojiano na gazeti la Nipashe akiwa shambani kwake. Wewe ulidhani wanatarajiwa kuachiwa? Walishaachiwa mkuu
   
 7. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kombe was just another criminal, alistahili kilichompata
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Sure mkuu!
  Pia nilimcheki kwenye gazeti hilo hilo na inasemekana kikwete aliwachomoa,
  So wapo uraiani wanakula bata na mmoja wao alishafariki.....
   
 9. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kwani hujui kuwa wale wameachiwa? Au unatania ?
   
 10. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  excuse moi! Hebu nikumbushe u-criminal wake...., nimesahau kdg, si unajua miaka mingi? Nikumbushe tafadhali
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  we una akili timamu kweli? kama huna la kuchangia kaa kimnya.........m*****i kabisa weeee!
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  ngee ukweli jamani, kama kweli kuna Mungu, nadhani wanasiasa wengi wanaweza wakawa ndiyo kuni za kuchemshia maji ya kutunyonyolea akina sisi walalahoi na wavujajasho. Maana ii uwe mwanasiasa mahiri basi, ni lazima kila uchao uwe unaongea, kupanga na kutekeleza madhami kama sio uongo ili uwe na uhakika wa mdomo kwenda kinywani, mweeeeeeee!
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu siyo Zombe. Ni General Imran Kombe aliyeuawa na CCM ya Mkapa. ZOMBE ni Mkuu wa Majambazi Tanzania
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tafuta hukumu yao mahakamani ni rahisi kupata ndipo utakuwa na nguvu ya kulaumu kuachiwa kwao. Kama familia haijakata rufaa basi nao wao wameridhika na uamuzi huo vinginevyo ni majungu .
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  tulitaka auwawe nani ndipo iwe ni sawa. kifo ni kifo hata kwa mtanzania wa chini. tuwe fair kwenye kifo na tufuate haki ya kuishi kwa kila binadamu.

  Jambo la msingi hapa ni kumwaga taarifa zinazothibitisha makosa ya walioachiwa kusudi wote tushiriki kupima haki iliyopotea.
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ni kama umekurupuka kutoka usingizini hujui hata kama watuhumiwa walishaachiwa huru baada ya kukaa jela miaka kadhaa. hii pekee inatosha kwamba ulikuwa hufuatilii kesi unashangazwa na matokeo ya mwisho.

  tafuta taarifa za kutosha unaweza kuipotosha JF lakini pia unaweza kuwa ni mmoja wa majeruhi wa kifo cha kombe badala ya kukimbilia kukata rufaa unakuja hapa kutupa tafsiri iliyopinda.
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Nani tumwamini sasa mtoa mada au wewe. kwa kauli hii kuna mambo hayako wazi.
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Njama za Kuwaachia huru ziliishia wapi?

  maneno yako hapo juu unaonekana unajua mengi hadi unathubutu kusema njama za kuwaachia huru,kivipi fafanua.
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  usitusumbue bana.tuko arumeru sasa
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kama mtu mwenyewe humjui sasa unaleta uzushi hapa wa nini wewe.
   
Loading...