Tendwa pamoja na kuwa na macho ukuliona hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendwa pamoja na kuwa na macho ukuliona hili.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Feb 24, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Rushwa ambayo ilikuwa ikigawiwa nje nje wakati wa uchaguzi wa kumtafuta mwakilishi wa CCM na kuripotiwa na magazeti karibu yote hapa nchini wakiwemo bahadhi ya wagombea ndani ya CCM kutishia kuiama CCM kwa sababu ya kupinga Rushwa iliyotawala ndani ya chama hiki. Wanachama wenye mapenzi mema na chama chao cha CCM walisema waziwazi kuwa swala la rushwa lisipotazamwa ndani ya chama chao basi chama hiko kinaweza kufa Yote haya Tendwa pamoja na macho makubwa na ukiongezea na miwani kubwa unazofaa ukuyaona. jamani kweli kupenda ni chongo hata miwani hazisaidii.
   
 2. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,473
  Likes Received: 2,007
  Trophy Points: 280
  kabla ya kufka kwa TENDWA waulize kwanza KAMATI YA MAADILI YA CHAMA HUSIKA..hata hvo chama hcho kimezoea ishu hzo na kwakua TENDWA ni m1 wa chama hcho haoni tatzo..
   
 3. D

  Dopas JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tendwa atasema nini hapo? Si ndo walewale wa kuibeba CCM?
   
 4. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msisahau msemo usemao Nyani haoni kundule, ndiye huyu Mzee John Tendwa.
  Tangu awepo kwenye wadhifa wake hajawahi kuona chama chake kama kinafanya isivyo, kumbuka baada ya uchaguzi 2010 ofisi yake ilisema ccm ilikiuka maadili kumaliza mikutano ya kampeini baada ya muda unaotakiwa lakini waliona hawana jinsi ya kuwasema wakati huo.
  Ni mzee hatari sana, lakini ipo siku mkono wa sheria utakuwa juu yao, waache watunyanyase muda huu ambao wanaona CCM ni kila kitu.
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Tendwa afikishwe mahakamani jamani.
  hamna wanasheria?MIMI PAMOJA NA KUTOKUSOMA SHERIA HAPO NAONA JINAI..
   
 6. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mijingamijinga kama hili siku ya ukombozi ndio watu wanaikodia Punda kihongwe ayaingilie mimasaburi yao. Inahudhi!
   
 7. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,834
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Muulizeni Tendwa Leo Kapitia "Kimara Korogwe" Labda akipitia kule anakuwa na fresh minded!!
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Rushwa inapofusha macho, hiki kizee ni kila rushwa hivyo kimeshapofuka,natamani ni kiwashe moto.
   
Loading...