Nape, J. Makamba na Z. Kabwe kizazi kijacho cha wanasiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape, J. Makamba na Z. Kabwe kizazi kijacho cha wanasiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Feb 23, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nikufuatilia kwa karibu sana mijadala mingi sana kuhusu wanasiasa wetu hapa Nchini, lakini kitu kikubwa nilichokiona ni kwamba wanasiasa hawa watatu kwa sasa hvi ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na watu wanaowaunga mkono na hapo hapo wanaowapinga kwa nguvu zao zote.

  Hawa ni wanasiasa wenye mvuto kutokana na jinsi wanavyojenga hoja zao ndani ya Bunge na nje Bunge. Kwangu mimi hawa ni vilongola kwa kizazi kipya cha wanasiasa hapa nchini kwetu Tanzania. Wapo wanasiasa wengine vijana lakini umaarufu wao hautokani na ujengaji wao wa hoja bali unatokana na mambo mengine kabisa wanayoyafanya yasiyohusiana na siasa, kama vile Vicky Kamata na Godbless Lema.

  Kwangu mimi Nape Nnauye, January Makamba, Khalima Mdee na Zitto Kabwe ni kizazi kijacho cha wanasiasa!!
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Katika Hiyo List Ukimuondoa Nape nitakuunga Mkono. Mtoto Mdogo Siasa za Kizee
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... acha hiyo tabia ya kutuchanganyia nyama na maharage ki-hivi. Hao wa kwenu na harufu zote za UFISADI; huko huko!!!!!!
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Katika siasa ukiona jina la mtu linatajwa inazuka sintofahamu, basi ujue huyo mwanasiasa ni maarufu. Kuna watu wanaona CCM bila Nape itavurugika na wapo wanaomuona Nape ni kijana anayejipendekeza CCM kwa maslahi yake binafsi. Huo ndiyo umaarufu wa kisiasa!!
   
 5. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  IMO, hawa ni kizazi kilichopo,sio kijacho.
   
 6. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sijasema ni wanasiasa "wasafi" bali ndiyo kizazi kipya cha wanasiasa. Huwezi kuandika Post bila ya kutafuta huruma kutoka kwa watu wengine?
   
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Maneno yako sawa kabisa isipokuwa binafsi yangu hawa vijana machachali wanafikiria kuboresha mfumo uliopo badala ya kufikiria kubomoa msingi ulojenga Ufisadi. Hawataweza kufanikiwa hata siku moja isipokuwa to paint new color over the falling wall..

  tatizo la wanasiasa wengi wa Tanzania ni kwamba hawana vision isipokuwa kuendeleza kile kilichokwisha jengwa. Pamoja na kumsifia Zitto na Makamba nimesoma sana maandishi yao ambayo yanamalengo mazuri sana isipokuwa hawafahamu athari zake ikiwa Ufisadi bado unachukua nafasi kubwa ya utendaji kazi nchini. Na ndio maana Zitto kashindwa ktk swala la Posho na mkonge isipokuwa Makamba kashinda swala la Ushuru kwenye majumba ya kupangisha. Na limepita tu kwa sababu wabunge wanafikiria ongezeko la pato ktk matumizi ya serikali (YAO)na atakaye umia ni mwananchi maana nina hakika pasipo regulation kali ushuru utakaotozwa wenye majumba utaongezwa ktk kodi ya Mpangaji, hivyo kurusha bei ya upangaji kwa nyumba hizo. Ni wazo zuri sana lakini kutokana na upungufu wa nyumba nchini mpangaji hatakuwa na sauti bali atakuwa victimized. Na Wabunge wote wana majumba yao hawataathirika kwa vyovyote.

  Na hata ukitazama jinsi tulivyoweka nguvu kubwa ktk kutafuta mafuta na gas, bado sheria za mikataba yetu ni dhaifu na hatuna sheria inayowafunga serikali na mashirika yake kwamba lazima mikataba hiyo ipitishwe bungeni kwanza kabla ya kukubaliwa. Majuzi tu tumesikia tayari shirika la utafiti wa mafuta toka Norway limepewa mkataba tayari, shirtika jingine la Uingereza limepewa mkataba tayari lakini wananchi na wabunge wengi hawajui kilichomo na who are stakeholders..
   
 8. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kijacho kwani wanaoshikilia hatamu za madaraka kwa sasa ndiyo kizazi cha sasa cha wanasiasa!
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Umemsahau Ismail Jussa na Hussein Bashe
   
 10. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Na mimi tatizo langu na hawa vijana ni hilo la kukosa maono (Vision) na mbinu za kupambana na mfumo uliopo. Wao wanajenga hoja zao kwa kutumia sana umagharibi, ukiondoa Halima Mdee ambaye hayumo kwenye kundi la Nape, Makamba na Kabwe!!
   
 11. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hao uliowataja shughuli yao kwenye siasa ni nyingine kabisa!!
   
 12. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Watu wametawala toka nyerere bado ni kizazi cha sasa?Wasira cha sasa,ok noted!
   
 13. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ukweli duniani kote wanasiasa wanaoitwa "vijana" ni wale wenye umri wa kuanzia miaka 40 mpaka 49. Chini ya hapo huchukuliwa kama ni bahati ya mtu!! obama aliitwa kijana mwaka 2008.
   
 14. a

  ashtatu Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ya true dat
   
 15. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  List yako ilikuwa nzuri, ila imeingia dosari baada ya kuingiza jina la NAPE.
   
 16. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ndiyo maana nilisema hawa wanaungwa mkono na kupingwa kwa wakati huo huo. ukiona hupingwi basi wewe huna mawazo yenye mantiki kwani mawazo yenye mantiki mara zote huja kama kitu tata!!
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mkandara,

  Pamoja na baadhi ya vijana kuonyesha msimamo wa dhati kuhusu mabadiliko pamoja na mapungufu ya hapa na pale.Tuna small fraction pia ya wazee ambao wanatamani tutoke hapa tulipo tusoge mbele.
  Tusipokuwa na vision tutajikuta tunageuza another 50 years of shame kama taifa.Mfumo tulio nao unahitaji overhaul.Itabidi tufikie hatua sasa tuache kujadili mambo mepesi kwenye siasa,tuache kujadili matukio na matokeo ambayo ni matunda ya mfumo

  Mkandara,While i share your sentiments i will suggest mass action.Hatua tuliyofikia ni ngumu na aina ya wanasiasa tulio nao pengine 92 % wanachangia kuturudisha nyuma kwa kasi ya ajabu. Though revolution as uninspiring as it looks might seem our only avenue for any genuine change.Our need for change is obvious but it is also obvious that the political class we have canot and will not enforce change internally,something has to be done externally.The political class is bent on self preservation and that status quo tendency is anti change,hence change must be enforced externally and unfortunately it will be bloody.

  Reforms in of themselves are futile without the good will of all and more importantly a generally agreed consensus to work towards the betterment of all.(i.e American constitution after freedom from the Brits). I do not know of any political leader in Tanzania with a real blueprint for change so that's reforms in the bin. I also do not know Tanzanians to have that general notion of loving his neighbour and wanting betterment for all. Is not a lie to say a good chunk (not all) are unbelievable selfish.

  Our politicians irrespective of the acronym of their afiliation are sworn to preserving the political class and the class has proven over and over again to be nothing but a band of greedy,inept and corrupt gangsters,so what other option do we have?

  My solution? Far it be from me to suggest one as it suggests arrogance, but I'd humbly say a slow and painful march to improvement can be attained by effective education,positive political participation,observance of rule of law,transparency,accountability also simple and forgotten things like respect and love of your fellow human being. The list whilst non-exhaustive is "my cents worth".
   
 18. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hata ukiondoa Nepi kwenye hiyo bado hoja yake ina virusi vya udini. Kwa nini awataje hao 3 ile hali wote ni waislamu. Tuache ushabi wa kidini usiokuwa na tija kwa maendeleo ya nchi na taifa kwa ujumla.
   
 19. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Hapo kwa Nape nina wasi wasi kidogo. Baada ja JK kutoka kwenye uenyekiti, sijui kama Nape atabaki na nguvu alizonazo. ila kwa hao wengine hujakosea japo kutomtaja JJ Mnyika utakuwa hujaitendea haki thread yako
   
 20. m

  mpiganaji86 Senior Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika ilo kundi mtoe nape kwasababu ni mpayukaji kama julias mtatiro wa cuf
   
Loading...