Lowasa na uchaguzi Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa na uchaguzi Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Baba KimsJR, Feb 22, 2012.

 1. B

  Baba KimsJR New Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  yule anayegombea ndiye mkwe wake au?
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Lowassa anajifilisi bure...hatakuwa Rais wa nchi hii.Hatuwezi kuongozwa na mwizi na muuaji kama yeye
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sioi ndio mbunge wa Arumeru hata CDM wanalijua hilo, anasubiri kuapishwa tu

   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tshs. 1b kweli kwa Arumeru tu? Kila mpiga kura alipata kiasi gani? Mimi najua takrima za kitanzania huwa ni 5000 ikizidi sana 10,000.00. Kwa billion moja mbona atakuwa amemlipa kila mwananchi wa Arumeru na chenji kurudi?
   
 6. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mimi nakuunga mkoo 100% yaani endapo ccm watamsimamisha EL Mimi nitaapa kama JL MPAKA KIELEWEKE kwa ajili ya kumtetea hayati Mwl.JK KWAMBA IKULU KUNA BIASHARA GANI HADI............? Hata hivyo vita dhidi ya pesa haramu inatakiwa iongozwe na wananchi wa kawaida kwani kwenye Dini imeshakuwa tamu,ndiyo maana hata viongozi wa kisiasa wamewakataa viongozi wa Dini kutoa elimu ya uchaguzi Arumeru na kwingineko.
   
 7. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanazani arumeru ni igunga, ngoja waone moto wa chadema. vita ya pili yakitaifa itatangazwa pale.
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Aisee kama ni hivyo watagawa hela sana hawa..kama huyu white hair ameweka mkono.
   
 9. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata arusha mjini alimwaga hela za ukwel bado mama alipigwa chin..waliokkuwa arusha kipindi kile usingetarajia lema anjemshinda..alihonga vijana wengi ila jion wako na lema...haya yatamkuta sioi wa lowasa
   
 10. data

  data JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,735
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  Lowasa.. Episode 1,000,000
   
 11. M

  MYISANZU Senior Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowassa anasubiri kuapishwa tu kuwa rais wa JMT.Slaa anajua hilo
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hizi promo manazompatia Lowassa hazina msaada sana kwa
  SIOI....Lowassa alimpigania sana Batlida kwa mtindo huu huu lakini bado Mama alilowa Kwa Lema...Pesa siyo tishio sana kwa siasa za sasa ambapo watu wameamuka...wanapokea pesa lakini wanafanya tofauti kwenye sanduku la kupigia kura...Kwa hiyo CCM wanapaswa kujipanga upya...mbinu hii inaelekea kufeli...nimeshuhudia hili katika majimbo ya Nyamagana na Ilemela jijini Mwanza mwaka jana...Masha na Diallo walitembeza pesa ile mbaya...Lakini mwisho wa siku waliangukia pua...anyway siwafahamu vizuri wa Meru...ngoja tusubiri.
   
 13. L

  LISAH Senior Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama hatakuwa rais ataweka kibaraka wake awe rais na atahakikisha wenyeviti wote wa ccm wanamsujudia na wanimba wimbo wake.....!
   
 14. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Huyu ndie aliyeoa kwa lowasa.ila hatoshindwa hata wakihamishia bot meru
   
 15. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poor you! Mkuu kufilisika kwake utasubiri sana kama ambavyo utasubiri siku ambayo Bahari ya Hindi itakapo ishiwa maji....
   
 16. M

  MYISANZU Senior Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi huo wivu wenu na chuki zenu binafsi dhidi ya EL hamuziachi?
   
 17. majonzi

  majonzi Senior Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyo Sumari ndio mkwe wake Lowasa na dio mkwe mkubwa inaonyesha jamaa ni jinsi gani anavyo tengeneza mazingira ya kuingia ikulu kwa kishindo
   
 18. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  acha ufala na ujinga wako, nani ana wivu na jambazi anayewaibia wajane na yatima, wewe unamfahamu huyu sumari? ndie mkwe wa lowasa kamwoa pamela lowasa! usultani unaendelea mbaya zaidi si kwa pesa za ukoo kama ilivyo huko kenya, bali kwa pesa zilizochotwa pale BOT
   
 19. Ntaramuka

  Ntaramuka Senior Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha uppuzi bwana mdogo, unamaana gani MASHUHUDA WETU WA SIRINI, au ndo unatuletea habari zenu za TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA.. Be critical, otherwise keep quiet, sio lazima kuchangia
   
 20. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Naona mwanga unaanza kuwamulika na mnabadilisha wimbo kuwa hata akishindwa atamuweka kibaraka wake!! Huyu bwana hakuna njia hata ahonge fedha za kuijaza bahari hawezi kupata urais mwishowe atakuja kufa kihoro!!
   
Loading...