Hongera makanda wa Tunduma kumbe nguvu ya uma haishindwi kitu
baada ya makamu wa raisi kushindwa kufika eneo la tukio kwa muda muafaka kutokana na mkanganyiko wa vijana wa tunduma na polisi kwa...
Narudi nyuma miaka kadhaa wakati DR Mwakyembe alipoona siasa inalipa kuliko taaluma alipoamua kukimbia chaki Chuo Kikuu cha Dar es laam na kwenda kugombea ubunge wa Afrika Mashariki. Mwakyembe kwa...
Respect to JF! I welcome all JF members to discuss this topic with respect to our Tanzania We WANT.SHOULD the Nation be built by politians or patriotic citizens?who work hard in...
Wazri mkuu wa uingereza amkacha JK na kumuacha William Hague waziri wa mambo ya nje ndo akutane na JK...Inaonyesha Waingereza nao wamechoka na safari zake....Rais wa Jamhuri ya muungano wa...
Siku wananchi watakapoamua kupigana dhidi ya udhalimu (kama itatokea wakawa na ujasiri huo) wanaofanyiwa na serikali iliyoko madarakani, Wamarekani hapa nchini wasiachiwe.
Hii ni kwa sababu...
Sat, Feb 25th, 2012
Tanzania |Sat, Feb 25th, 2012
Director for Frankfurt Zoological Society (FZS), Dr Christof Schenck
The Germany government is soliciting millions of money that will help...
ili inchi iwe na ustawi mzuri inahitaji siasa safi! Sawa lakini pamoja na hilo naona kama siasa inachukua ndio inachukua sehemu kubwa ya mawazo ya watu wengi mara uchaguzi ujao 2015, mara...
Jana mamia ya wakazi wa mji wa Songea walifanya maandamano ambayo yaliishia kuuawa kwa watu wawili baada ya polisi kufyatua risasi za moto wakiwatawanya kwa nguvu watu hao.
Polisi wanadaiwa...
Wakuu story inayoendelea hapa Arusha na Moshi sasa hivi ni kuhusu uchaguzi wa Arumeru mashariki,Kila mtu hapa anaongelea juu ya Lowassa kutumia karata ya Arumeru kama dalili za ushindi wake...
Continue reading the main storyRelated Stories
In hiding for exposing Tanzania witch-doctors
Tanzania country profile - Overview
Four Tanzanian police officers have been detained after two...
WanaJF,
CCM imekuwa ikieneza propaganda kwamba CUF ni chama cha Waislamu na walifanikiwa sana kuwaaminisha wananchi kwamba CUF na Uislamu ni kama uji na mgonjwa! Baada ya kuisambaratisha CUF, CDM...
Kwa mda mrefu CCM imekuwa na kampeni chafu hasa kwa ipinzani hasa pale wanapoteua au kumsimanisha mtu mwenye uhusiano na viongozi wa vyama hivyo. Cha kushangaza wana kula matapishi yao kwa...
Mbio za kuwania ubunge kwa jimbo la Arumeru mashariki zimeanza kwa kila chama kuteua mwakilishi wake. Kwa jinsi yeyote ile CHADEMA kinaonekana kuwa na mtaji mkubwa sana katika jimbo hili...
Katiba yetu inasema mtu anayetaka kugombea u-Rais ni lazima awe ametimiza umri wa miaka 40. Umri wa juu wa kugombea kuwa Rais haukutajwa!!
Baada ya kuangalia yanayotokea Senegal nimekuwa na tamaa...
Watanzania wamegoma kuonana na kikwete kutokana na wao kudai hawaoni sababu,wengine wapata hasira waliposikia anakuja wadai anawafanya Watanzania kuwa maskini zaidi,habari kamili zinafata
Mara kadhaa utawasikia viongozi wa jeshi la polisi wakitoa kauli zenye utata ili kuzuia ama maandamano au mikutano ya kisiasa ya wananchi eti wamepata taarifa za kiintelijensia juu ya uvunjifu wa...
Jamani kampeni za arumeru mashariki zimeanza kimya kimya niko huku nyumbani tangu jnne maeneo ya usa,magadini ,lekitatu na doli relini kote huko nimewaona magambaz wako kwenye vikao na...
Leo jioni katika kipindi cha dira ya dunia BBC, Prof. Tibaijuka - waziri wa ardhi na maendeleo ya makati atashiriki katika mjadala endapo watanzania wananufaika na wawekezaji wa nje katika ardhi...
Soma habari hii halafu utaelewa kwa nini chagonja anapaswa kufukuzwa kazi polisi..
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Inspekta saidi mwema ametuma kikosi cha maofisa waandamizi kutoka makao makuu ya...
CCM leaders worry over Arumeru
Send to a friend
Thursday, 23 February 2012 22:21
digg
By Filbert Rweyemamu,
The Citizen Correspondent
Arusha. A day after the...