Kampeni Arumeru Mashariki zimeshaanza au bado? Huku nilipo mambo yameshaanza

Nov 17, 2011
32
5
Jamani kampeni za arumeru mashariki zimeanza kimya kimya niko huku nyumbani tangu jnne maeneo ya usa,magadini ,lekitatu na doli relini kote huko nimewaona magambaz wako kwenye vikao na mabalozi,wenyeviti wa mitaa na makada wa ccm wanajadili jinsi ya kuwakabili chadema na ushindi kwa mgombea wao kwa siku wanafanya vikao zaidi ya 5. Je kampeni zimeshaaza jamani? Na kama zimeanza chadema mkowapi na sisi tupange jinsi ya kuwakabili magambaz na ushindi kwa mgombea wetu Nimesikia leo usiku kuna kiongozi toka taifa na anakuja kufanya kikao kitafanyika kwa mwenyeviti wa mtaa wa lekitatu nitakuwa nao pamoja nitawajuza watakacho zungumza huko.
 
Jichanganye nao kamanda...uchote strategies za magamba...zitafanyiwa kazi...hii ndiyo JF the home of GT,ukiikoswa jimalize..

...JF ninavyo kupenda nitakunywa sumu juu yako...
 
jichanganye nao kamanda...uchote strategies za magamba...zitafanyiwa kazi...hii ndiyo jf the home of gt,ukiikoswa jimalize.....jf ninavyo kupenda nitakunywa sumu juu yako...
asante mkuu kwa kutupa updates za kinachojiri arumeru, dalili za ushindi kwa chadema ni dhahiri, kwanza mwamko wa mabadiliko nchini kote uko juu, watanzania wote tunamfahamu anaetupa umasikini nae ni ccm magambaz, na pia km igunga tuliingia na kura 0 tukatoka na tofauti ya kura 3,000 dhidi ya magamba ushindi apo ni wazi, ntasikitika sana kama mtashindwa kuzilinda kura maana magama strategy yao ni wizi wa kura, makamanda wa cdm nawatakia kila lililo la kheri, tutashinda tu
 
Jipeni matumaini! Kama kura zitapigwa humu jf ccm itashindwa, lakini kwa Arumeru aliko Mwigulu sahau, kilichoipata cuf igunga kitawapata. Mnaambiwa wenzenu wanafanya vikao mpaka vitano mnajiaminisha kushinda, huu ubongo au masaburi
 
Kwa hiyo wewe unasifia u****a?na akili yako timamu unaandika kwa kujidai kabisa kua yupo mwigulu kule na kama kula zngepgwa jf (home of gt) cdm wangeshinda!kweli ukiwa mfuasi wa gambaz hata uwezo wa kufikiri unakua mdogo,waliosema mtaja wa gambaz ni wa****a hawakukosea kabisa
 
jipeni matumaini! Kama kura zitapigwa humu jf ccm itashindwa, lakini kwa arumeru aliko mwigulu sahau, kilichoipata cuf igunga kitawapata. Mnaambiwa wenzenu wanafanya vikao mpaka vitano mnajiaminisha kushinda, huu ubongo au masaburi
wewe ni wa jinsia gani? Mwigulu ndo mmeo au shemejio? Nashindwa kumuelewa mtanzania anayetoka adharani akishabikia mafisadi!! Nashindwa kukutofautisha na kupe, jini, mb*****wa au kunguni, usichangie kama unadhamilia kuwaumiza watanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom