Kikwete atua Botswana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete atua Botswana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Delegate, Feb 24, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  Watanzania wamegoma kuonana na kikwete kutokana na wao kudai hawaoni sababu,wengine wapata hasira waliposikia anakuja wadai anawafanya Watanzania kuwa maskini zaidi,habari kamili zinafata​

  24022012204.jpg
  24022012199.jpg
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,510
  Likes Received: 19,922
  Trophy Points: 280
  kudadeki kaenda kufanya nini?
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Botswana??ni kweli,alipitiliza au alitua tanzania kwanza??mimi siamini
   
 4. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,396
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Du! Juu kwa ju. Mtumieni msg kuwa kule Tunduma polisi wake wanataka kumwaga tena damu za raia kwa masuala ya kipuuzi.
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,412
  Likes Received: 1,871
  Trophy Points: 280
  [QOUTE=Director;Botswana??ni kweli,alipitiliza au alitua tanzania kwanza??mimi siamini [/QUOTE]
  Sherehe za kuzaliwa chama tawala Botwsana
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kuna mambo yanatokea huku, kama wale polisi kuua raia kule songea lakini sijasikia serikali ikisema kitu lakini inaonekana watu waliopo serikalini wanafurahia zaidi safari, Duh! lakini hii ni kali...
   
 7. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Duh Mkuu wa Kaya ni mzee wa misiba na sherehe. Mwambieni awahi mazishi ya wananchi waliouawa na polisi Songea
   
 8. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,876
  Likes Received: 2,820
  Trophy Points: 280
  Haki ya nani Tz hatuna rais tuna garasa! Yaani huyu kunguni anatia hasira huyu! Hivi hapa kwetu hakuna wajuzi wa kumtungua huko huko juu kama tunavyoona kwenye picha za ki-Nigeria? Itapendeza kama Al-shabaab watamtungua juu kwa juu na hivi amejitolea kuyashitaki! Unajua jamaa linafanya kiburi kwa vile linajua hatuna kitu cha kulifanya! Sisi wa-TZ ni mikondoo acha tukome!
   
 9. B

  BMT JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  mi najihc kuugua,jk jk jk jk
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Guys, tell me this is just another joke.
   
 11. Iramusm

  Iramusm JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 425
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  "Najiulizaga" huyu jamaa ile hali ya "u-waziri wa mambo ya nje" haujamtoka bado au?
   
 12. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  We'll live to regret why we voted this man to the presidency, hamna kitu kabisa.
   
 13. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Alale Pema motoni
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  safari ya 323 tangu mkuu wa kaya awe chifu wa boma letu la tanzania
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Watanzania, please, please, please, please..... SHEREHE ZA CHAMA????

  lazima katiba mpya iangalie kwa kweli this is too much to bear!!!
   
 16. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kaenda kumtembelea kamanda Ian Khama akitoka huko anaenda Somalia kuangalia wanaendeleaje baada ya mazungumzo na D Cameroon. Baada ya Somalia atarudi nchini kidogo alafu ataenda South Africa (sherehe za Uhuru) April, atapiliza mpaka Ufaransa kwenye sherehe za kuhapisha Rais mpya baada ya uchaguzi (April). Atarudi nyumbani kwa ajili ya sherehe za May Mosi kabla ya kurudi UK kwa ajili ya sherehe za Diamond Jubilee ya Queen nadhani atakaa huko mpaka sherehe za ufunguzi wa Olypmic hapo July 27. Hiyo ndo ratiba ya mpaka July2012
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kagalala huko ufaransa kesha alikwa kabisa au anajipeleka tu!
   
 18. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani anarudi lini tujiandae
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  AFUNGUE IKULU NDOGO ULAYA NA MAREKANI kabisa ili tujue moja!!!
   
 20. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  On transit mwayego.....direct flight frm heathrow to Bongo hakunaga siku izi, eti wadhungu wanadai eapoti yetu inafanana na sokoniii kaliakoo.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...