Declaration of Conflict of Interest: Mimi sio mwanachama wa CCM na nilimpigia kura Peter kuga Mzirai 2010
Ninawaomba sana viongozi wa CCM na wa kiserikali mfanyie kazi hili wazo langu, kuna...
sitta umedanganya nchi kuhusu ugonjwa wa rafiki yako Mwakiembe. sasa amekuruka na kukuacha uchi, jiuzulu mara moja kwa faida ya nchi.
hatutaki viongozi wanafiki na waongo!
Tue, Mar 20th, 2012
Tue, March 20th 2012 /Tanzania
CCM candidate, Mr Sioi Sumari
Police and CCM have warned other political parties contesting in Arumeru Parliamentary by-election to...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kundi linalosadikika ni la green guard la ccm wamekuwa wakifanya vitendo vya utekaji wa viongozi wa chadema, waliotekwa pamoja na mwenyekiti wa kata wa chadema na...
Mimi ni mwanachama wa ccm mwaminifu kabisa.
Tukio la waandishi kupigwa tumelipanga sisi tukiongozwa na katibu wa uvccm wilaya ya monduli Ezekiel Mollel kwa uratibu wa James millya ambae ndio...
ubunge na udiwani
1.kwanza kabisa wasikubali kupoteza hata kiti kimoja cha ubunge chadema ina viti 23 vya ubunge mpaka sasa ihakikishe mwaka 2015 inaingia na huo mtaji wa viti 23 yaani wawe na...
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA alisema ARUMERU huku akimpigia debe mgombea wa chama chake kuwa mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM , watu wengi hasa washabiki wa CDM...
Hapo kwenye red:
Naona polisi wa magamba sasa wanaanza kukiona chama wanachokipigia kampeni kumbe ni cha hovyo.
Dk Slaa afunika kampeni Arumeru
Na Waandishi Wetu, Arumeru...
WAZIRI MAIGE AWAPIGA 'STOP' WAWEKEZAJI KUWANYIMA AJIRA WATANZANIA
WAZIRI wa maliasili na utalii Ezekiel Maige amewataka wawekezaji wa makampuni na viwanda katika wilaya ya Mufindi mkoani Iringa...
Huu ni utafiti nilioufanya mwenyewe kuhusiana na harakati za zitto katika kukisadia chama
Kwanza naanza na swali
Je zitto ametoa mchango gani kwa kampeni zote za chadema?
Nikianzia historia ya...
Akiwahutubia wananchi wa Tengeru kwa Pole Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alisema
Juzi nimesikia kuwa mgombea wao (Sioi) katika kikao cha ndani aliomba kujitoa katika kampeni hizi...
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alitoa tahadhari kwa mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisema kuwa CHADEMA inamsubiri kwa hamu aingie katika uchaguzi wa Arumeru.
Nataka kumwambia...
Kwa mujibu wa first hand information kutoka Arumeru ni kwamba chama cha demokrasia na maendeleo,kimeanza kuonyesha dalili zote za kushindwa uchaguzi huo! ile morali iliyokueko mwanzoni kabisa sasa...
SUALA la kuibiwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima, si la mchezo hata kidogo kama kweli tunataka kuheshimu utawala wa sheria na maadili kwa mtumishi wa umma kama yeye, tena...
Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa ufisadi wa richmond,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.
Wanafunzi wa Shule...
Mafunzo mbalimbali yanaendeshwa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma chini ya Programu ya KUBORESHA UTUMISHI WA UMMA (PSRS) ya 2008 - 2012 na mwaka huu niyo inamalizika kabla ya...
Heshma kwenu wakuu;
Hizi kampeni zinazoendelea Arumeru zimezidi kuonesha picha ya mipasho, majibizano na tuhuma ambazo kimsingi si mahala pake. Mi nadhani kazi walizo nazo wagombea, Kampenin...
MBUNGE wa Ubungo John Mnyika (Chadema), amewataka wakazi wote wa jimboni kwake kuifanya Wiki ya maadhimisho ya Maji kuwa ya madai ya maji huku akitoa mawasiliano ya Bodi ya mamlaka inayohusika...
Hili haliitaji kuwa na degree au tochi kugundua hili.
1. Kahawa
Nani asiyejua kuwa mikaa ya nyuma zao la biashara kwa wameru lilikuwa kahawa,lakini kwa sera mbovu zikiongozwa na ccm zilichangia...