Mapungufu ya Zitto kwenye Kampeni za CHADEMA ni yapi?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Huu ni utafiti nilioufanya mwenyewe kuhusiana na harakati za zitto katika kukisadia chama
Kwanza naanza na swali
Je zitto ametoa mchango gani kwa kampeni zote za chadema?
Nikianzia historia ya karibu kwa bwana zitto, Mwaka 2010 hakutoa mchango wowote kwa chama ukianzia kigoma kwao wagombea wote wa chadema walishidwa lakini zitto alikuwa anato support kwa wabombea wetu wa ccm na NCCR

Chaguzi ndogo zote za mwaka 2011 zitto hakuwa na ushirikiano na viongozi wake pamoja na kuwa na ushawishi mdogo kwa watanzania. Uchaguzi mdogo wa busanda, kiteto etc zitto hakuwa na msaada wowote.

Uchanguzi wa madiwani Mwanza zitto ndo amechaguliwa na chama kama kamanda wa operetion shinda mwanza
lakini mimi nina uhakiki na Uchaguzi mdogo wa diwani MWANZA CCM itaibuka mshindi.

Najua Arumeru zitto hana mchango wowote

kwa maoni yako zitto ana mchango wowote kwa chadema?
 
Unaweza ukawa na hoja ila kwa uandishi na fikra zako watu wataanza kuhoji kama kweli wewe ni critical na umeenda shule kweli?. Binafsi nautambua mchango wa Zitto kwenye chama. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Acheni kumsakama zitto wanachadema. Kama zitto akija kuondoka kwenye chama hakika huo ndio utakuwa mwisho wa chadema.
 
Kwanza rekebisha heading hapo juu.Hayo ni majungu tu mkuu!Mpaka hapo CHADEMA mlipofikia sasa Mh Zitto ame-play part kubwa sana!!Kwa umahili wake bungeni Mh Zitto ndiye mbunge aliyehamasisha vijana wengi kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali kwenye siasa mwaka 2010 tena wengi wao kupitia CDM!Amekuwa mstari wa mbele kwenye harakati mbalimbali za chama chenu hasa kuzunguka mikoani na kufungua matawi mapya ya chama!Hapa wewe una-hidden agenda bora uiweke wazi kabisa labda utaeleweka!!
 
zito ni moja ya public figure amboyo kiukweli ukimzungumzi ki hivyo humtendei haki si yeye anaye panga au awepo au asiwepo kwenye kampeni chamsingi ni kwamba akiwepo ana ipachadema nafasi nyingine kubwa ya kushinda ni sawa na akiwepo lisu lema mnyika halima nawengine wengi. ccm nao wana figure kama hizo mafano makamba (mtt) magufuli, kikwete, mwakyembe na wengine wengi
 
Acheni kumsakama zitto wanachadema. Kama zitto akija kuondoka kwenye chama hakika huo ndio utakuwa mwisho wa chadema.

Chadema mmesahau mara hii tu kuwa Zito ndiye amesababisha Chadema mkafika hapo mlipo. Alipofukuzwa bungeni ndipo mkaanza kumtumia kuzunguka nchi nzima leo hii mnaona hafai? Kweli Chadema ni Chama cha Deni na Majungu.
 
Acheni kumsakama zitto wanachadema. Kama zitto akija kuondoka kwenye chama hakika huo ndio utakuwa mwisho wa chadema.

unapoishia kuwaza wengine wanaanzia hapo.
ZITO ni mwanachama wa CDM kama wengine hata NYERERE alikuwa mwana CCM hayupo na inadunda,Chacha Wangwe alikuwa mwana CDM,KABOURU,KAFULILA,MKOSAMALI,AKWILOMBE,SHITAMBALA.
chama kipo wanasiasa wanapita tu.
 
images
 
Kwanza rekebisha heading hapo juu.Hayo ni majungu tu mkuu!Mpaka hapo CHADEMA mlipofikia sasa Mh Zitto ame-play part kubwa sana!!Kwa umahili wake bungeni Mh Zitto ndiye mbunge aliyehamasisha vijana wengi kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali kwenye siasa mwaka 2010 tena wengi wao kupitia CDM!Amekuwa mstari wa mbele kwenye harakati mbalimbali za chama chenu hasa kuzunguka mikoani na kufungua matawi mapya ya chama!Hapa wewe una-hidden agenda bora uiweke wazi kabisa labda utaeleweka!!

Kwa nini asiendelee?
 
Atasaidia vipi huku anapingana na falsafa ya CDM ya kupinga ufisadi?ZITTO ?yule aliyenunua VOG,anayemhusudu RA kupitia ule mwezi wa kwanza wa mwaka"JANUARY"?
 
mada yako haiendani na maelezo uliyotoa.
Huenda ni mtazamo wako tu katika chaguzi ndogo lakini in big picture kafanya mambo ya kukumbukwa na I hope ataendelea kwani CCM wana muwinda kila kukicha hana mzuka wa kuwa GAMBA.

ZITO komaa uwe mfano wa wana siasa machachari na huenda ukapata REWARD ya urais for the coming years who knows!
 
unapoishia kuwaza wengine wanaanzia hapo.
ZITO ni mwanachama wa CDM kama wengine hata NYERERE alikuwa mwana CCM hayupo na inadunda,Chacha Wangwe alikuwa mwana CDM,KABOURU,KAFULILA,MKOSAMALI,AKWILOMBE,SHITAMBALA.
chama kipo wanasiasa wanapita tu.

kama mnabisha jaribuni kumtoa muone kama hajawa kama ppt-maendeleo.
 
mada yako haiendani na maelezo uliyotoa.
Huenda ni mtazamo wako tu katika chaguzi ndogo lakini in big picture kafanya mambo ya kukumbukwa na I hope ataendelea kwani CCM wana muwinda kila kukicha hana mzuka wa kuwa GAMBA.

ZITO komaa uwe mfano wa wana siasa machachari na huenda ukapata REWARD ya urais for the coming years who knows!

Waweza kuwa na mawazo mazuri lakini si wakati wake. Unazidi kuongeza ushahidi juu ya uwepo wa movement ya kuwapotezea concentration viongozi wa CDM walio kwenye mstari wa mapambano Arumeru East. Kasi ni kubwa, tumeshawashtukia sasa. Why now? Tuna mapambano sasa Arumeru. Zitto alikuwa kwenye ufunguzi Arumeru, ameenda Kirumba Mwz, akaja Kigamboni what else?
 
Na mimi nakufanyia uchunguzi wewe toka ulete habari za Zito anajenga gorofa ukashindwa hata kuleta ushahidi hapa wa namba za kiwanja hata vivuli vya doc. vinavyo onyesha Zito anamiliki gorofa leo umekuja uhalo huu uweke wazi unamtaka Zito kimapenzi au alikupiga chini kimapenzi ndo maana unamzushia jambo kila kukicha?
 
Zitto ni smart politician, hachafuliwi kwa gharama ndogo hata kidogo, yuko makini na hata crituque zake kwa serikali zina ushahidi wa kutosha, wanaomchukia Zitto ni sababu binafsi na si vinginevyo.
hamtafanikiwa

Namuunga mkono Peter kuga mzirai uraisi 2010.
 
mawazoyangu ni kwamba wewe nigamba namba moja. ambaye huoni mbela hata mita 1. nani kama Zitto . peopleeees power
Huu ni utafiti nilioufanya mwenyewe kuhusiana na harakati za zitto katika kukisadia chama
Kwanza naanza na swali
Je zitto ametoa mchango gani kwa kampeni zote za chadema?
Nikianzia historia ya karibu kwa bwana zitto, Mwaka 2010 hakutoa mchango wowote kwa chama ukianzia kigoma kwao wagombea wote wa chadema walishidwa lakini zitto alikuwa anato support kwa wabombea wetu wa ccm na NCCR

Chaguzi ndogo zote za mwaka 2011 zitto hakuwa na ushirikiano na viongozi wake pamoja na kuwa na ushawishi mdogo kwa watanzania. Uchaguzi mdogo wa busanda, kiteto etc zitto hakuwa na msaada wowote.

Uchanguzi wa madiwani Mwanza zitto ndo amechaguliwa na chama kama kamanda wa operetion shinda mwanza
lakini mimi nina uhakiki na Uchaguzi mdogo wa diwani MWANZA CCM itaibuka mshindi.

Najua Arumeru zitto hana mchango wowote

kwa maoni yako zitto ana mchango wowote kwa chadema?
 
Atasaidia vipi huku anapingana na falsafa ya CDM ya kupinga ufisadi?ZITTO ?yule aliyenunua VOG,anayemhusudu RA kupitia ule mwezi wa kwanza wa mwaka"JANUARY"?

kumbe nawe ni gamba pole sana
 
Zitto ni smart politician, hachafuliwi kwa gharama ndogo hata kidogo, yuko makini na hata crituque zake kwa serikali zina ushahidi wa kutosha, wanaomchukia Zitto ni sababu binafsi na si vinginevyo.
hamtafanikiwa

Namuunga mkono Peter kuga mzirai uraisi 2010.

maoni yakipima jotochako yanaonyesha level ya IQ yako, haina tofauti na ya senene
 
Tungejua kwanza intention yako mtoa mada, is it a perfomance assessment au? Majungu huwa ni ishara ya being a hater, stop hating, acha watu wafanye kazi za chama, unazoendeleza ni zile zile siasa za kuchafuana, ila ujue kuwa Zitto huwezi kumchafua maana wenye akili timamu wote wanafahamu kuwa Zitto ana mchango mkubwa sana kwenye Chadema. Yeye akiwa Mbunge na mwananchi pia, ana maisha yake binafsi ambayo yanamfanya associalize na watu wengine, yeye kumchangia mtu wa NCCR kipindi cha uchaguzi wa 2010 ilikuwa ni haki yake, ana utashi wake binafsi ambao unamfanya yeye awe hivyo unavyomuona leo.

Tuache kuchafuana hivyo tutakuwa hatujengi bali tunabomoa. Tupeane mbinu nzuri zaidi za kujenga chama na sio kubomoa na kupenyeza chuki. Tusijiandalie mazingira ya kuwa n na makundi maana makundi hayajengi bali yananbomoa.Baada ya kuyasema hayo, labda mtoa mada na wewe utuambie kwamba kwenye chama chako wewe binafsi umefanya nini? una mchango gani?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom