Road to 2015 general election CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Road to 2015 general election CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, Mar 20, 2012.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ubunge na udiwani
  1.kwanza kabisa wasikubali kupoteza hata kiti kimoja cha ubunge chadema ina viti 23 vya ubunge mpaka sasa ihakikishe mwaka 2015 inaingia na huo mtaji wa viti 23 yaani wawe na uhakika kuwa hivyo viti tayari ni vyao haijahitaji nguvu sna kushinda hivyo viti
  mistake kubwa waliofanya CDM ni kukubali kupoteza kiti kimoja cha Tarime kwa ccm ni kosa kubwa sana sasa lisijitokeze tena majimbo muhimu ambayo ccm wanayataka kwa nguvu 2015
  i.arusha mjini: hapa kamanda godbless lema ajipange sana awe karibu na wananchi atekelze ahadi zile ndogo alizotoa
  ii.yale majimbo mawili ya mwanza(ilemela) nguvu inahitajika pale tuendeleza sera zetu ccm waoonyesha nia hadi maadhimisho yao wamefanyia mwanza.
  iii.kuna mbeya mjini nalo ya kuchunga sana ccm watafanya juu chini walipata
  iv.ubungo na kawe sina matatizo napo tuna vijana makini wenye uwezo mkubwa sana

  2.cdm naona kama mmelala hamtaki kufika vijijini
  hapa nitaelezea vizuri sehemu nyingi za vijijini ndo imekuwa udhaifu wa cdm hata kwenye uchaguzi wa 2010 naamini kuna uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 sasa wale hapa ndo pakuanzia tuanze sasa tusisubiri dr slaa o zito kabwe waje kutupigia kampeni uchaguzi wa serikali za mtaa.
  vijana wa umoja wa bavicha wakati ni huu ni uhakika chama hakiwezi kukosa hata miloni 100 kwa mwaka najua kuna kampeni ya saidia cdm za kuaandaa maandalizi ya 2015.
  nitaelezea hizo milioni 100 kwa mwaka tutazigawanya vipi kujipanga na uchaguzi ujao.
  ni amini kuna wale wagombe wa mwaka 2010 waligombea ile kutokana na kukosa muda wa kujiandaa wakakosa kura sasa hizi ela ndo zitumike kama maandalizi yao.waanze kampeni za chini chini kuitisha mikutano midogo modogo kuanzia leo ili hata akija kupita 2015 kuomba ubunge anakua si geni machoni kwa raia.
  John heche aongoze mapambano ya kufika vijijini huko tukianzia na hizi sehemu
  i.mtwra
  ii.zanzibar
  iii.lindi
  iv.tabora
  v.morogoro
  vi.dodoma
  vii.tanga
  viii.pwani
  hapa mwenyekiti wa bavicha ndugu john heche akiongozana na wanachama ambao maybe watagombea 2015 wapite kila kijiji mnakutana na wazee na kimama wa kijiji kwanza mnauliza matatizo yao mnaelezea sera zenu msihofu hata kwenye kikao wakiwa kumi ni mtaji mkubwa sana.
  hiyo ndo iwe aim kubwa hawa wagombea ambao tunajua watasimamia machoni mwa watu mwaka 2015 wapite watu wawajue tufungue matawi zaidi vijijini kupata wanachama wengi huko target yetu sasa iwe na sera za kuvutia wazee na wakina mama ndo wapiga kura hao
  na pia vijana tuwavutie kwa wingi waje ujiunga na cdm
  fadia za kuwatumia wale tunaisi wataweza kusimamishwa na chama mwaka 2015
  i.watu watakuwa washazijua sra zao itakuwa easy sana kwao kupita 2015
  ii.hawatakuwa wageni machoni kwa watu
  iii.jamii itakuwa inajua huyu mtu anatujali hata kabla hatujampa ubunge alikua pamoja na sisi
  iv.ni raisi kwa mimi kumchagua peter kwa sababu namjua nishamuona kama mara kumi na sera zake na misimamo yake naijua

  3.yale majimbo tuliyoshindwa kwa kura ndogo sana.
  haya ni sawa na majimbo yetu ya na kutolea macho sana kura ziongezeke 2015 niaamini wale wanachama waligombea bado wapo tanzania wahimizeni wawe wanakwenda majimbo kuendeleza harakati kwa ajili ya mwaka 2015
  i.kilombero japo dada yetu katutoka rip regia hili liwe jimbo letu cdm 2015
  ii.kuna jimbo moja kigoma tofauti ya kura ilikuwa moja hili liwe letu nalo
  iii.segera japo walichakachua tuhakikishe tunaklinda kura
  iv.bukoba mijini
  v.na mengineyo najua yako mengi

  4.piganieni tume huru ya haki
  harakati hizo zote hapo hazitawzekana bila tume huru na haki na kutoko kuchaguliwa na raisi

  5.mawakala wawe kila vituo
  hapa ndo udhaifu wa vyama vingi vya upinzani unapokuwepo hamuweki mawakala mkiibiwa kura mnalalamika

  6.kina mama wa cdm mnalala sana sioni harakati
  enyi wabunge wa viti maalumu mmewekwa na chama muuitishe vikao vya kina mama kila mkoa kujua matatizo yao kuandaa solution kwa yale mtakayo weza na yale mtakayo fikisha bungeni kuyauliza maswali
  i.kina mama hawana maji mmekaa kimya tu au mmeshiba mshahara na posho za bungeni
  ii.kina mama waporwa ardhi zao nyie mko kimya
  iii.kina mama wanabakwa mmekaa tu
  fungue hayo macho jamani

  7.naomba kamati kuu iwapunguzie majukumu wabunge wakae majimboni wajue shida za wananchi wao cdm mmepewa majimbo mengi mko kweny mtihani jee na nyie ni kama ccm
  wabunge watulie majimbo kwao kusikiliza kero za wananchi wao

  8.shibuda huyu mzee tusimtenge hata kama ana tamaa ni wakati wa kumtumia atupe majimbo mengine shinyanga jamani mnamuacha kama sio mbunge wa cdm naomba mumpe nafasi ahakikishe tunapata majimbo mengi kule shinyanga

  mwisho kabisa lowasa kashanza kampeni now na sisi tuzianze jamani tukichelewa hakika tutamkuta mwana si wetu


  mimi majanikv
  kutoka mapangoni
   
 2. R

  RUTARE Senior Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii nimeikubali is a road map naweza kuongezea kwa hayo uliyoyasema CDM mkijipanga kuna mikoa CCM wanaweza kuondoka mikono mitupu na Kigoma, Mbeya, Kilimanjaro na Arusha.

  Kwa mfano Kigoma wana majimbo 3 out of 8 na hayo matatu mawili ndiyo walishinda kwa tofauti ya kura kidogo na moja kesi iko mahakamani kwa madai kuwa hakuwa ameshinda kihalali
   
 3. F

  FredKavishe Verified User

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pamoja sana mkuu
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ubunge na Udiwani

  1. Kwanza kabisa wasikubali kupoteza hata kiti kimoja cha ubunge chadema ina viti 23 vya ubunge mpaka sasa ihakikishe mwaka 2015 inaingia na huo mtaji wa viti 23 yaani wawe na uhakika kuwa hivyo viti tayari ni vyao haijahitaji nguvu sana kushinda hivyo viti

  Mistake kubwa waliofanya CDM ni kukubali kupoteza kiti kimoja cha Tarime kwa CCM ni kosa kubwa sana sasa lisijitokeze tena majimbo muhimu ambayo CCM wanayataka kwa nguvu 2015

  i. Arusha Mjini: hapa Kamanda Godbless Lema ajipange sana awe karibu na wananchi atekelze ahadi zile ndogo alizotoa

  ii. Yale Majimbo mawili ya Mwanza (Ilemela) nguvu inahitajika pale tuendeleza sera zetu CCM waoonyesha nia hadi maadhimisho yao wamefanyia Mwanza.

  iii. Kuna Mbeya Mjini nalo ya kuchunga sana CCM watafanya juu chini walipata

  iv. Ubungo na Kawe sina matatizo napo tuna vijana makini wenye uwezo mkubwa sana


  2.CDM Naona Kama Mmelala Hamtaki Kufika Vijijini


  Hapa nitaelezea vizuri sehemu nyingi za vijijini ndo imekuwa udhaifu wa cdm hata kwenye uchaguzi wa 2010 naamini kuna uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 sasa wale hapa ndo pakuanzia tuanze sasa tusisubiri Dr slaa na Zitto kabwe waje kutupigia kampeni uchaguzi wa serikali za mtaa.

  Vijana wa umoja wa BAVICHA wakati ni huu ni uhakika chama hakiwezi kukosa hata miloni 100 kwa mwaka najua kuna kampeni ya saidia CDM za kuaandaa maandalizi ya 2015.

  Nitaelezea hizo milioni 100 kwa mwaka tutazigawanya vipi kujipanga na uchaguzi ujao.

  Nina amini kuna wale wagombe wa mwaka 2010 waligombea ile kutokana na kukosa muda wa kujiandaa wakakosa kura sasa hizi ela ndo zitumike kama maandalizi yao.

  Waanze kampeni za chini chini kuitisha mikutano midogo modogo kuanzia leo ili hata akija kupita 2015 kuomba ubunge anakua si geni machoni kwa raia.

  John Heche aongoze mapambano ya kufika vijijini huko tukianzia na hizi sehemu

  i. Mtwra
  ii. Zanzibar
  iii. Lindi
  iv. Tabora
  v. Morogoro
  vi. Dodoma
  vii. Tanga
  viii. Pwani

  Hapa Mwenyekiti wa BAVICHA Ndugu John Heche akiongozana na wanachama ambao maybe watagombea 2015 wapite kila kijiji mnakutana na wazee na kimama wa kijiji kwanza mnauliza matatizo yao mnaelezea sera zenu msihofu hata kwenye kikao wakiwa kumi ni mtaji mkubwa sana.

  Hiyo ndo iwe aim kubwa hawa wagombea ambao tunajua watasimamia machoni mwa watu mwaka 2015 wapite watu wawajue tufungue matawi zaidi vijijini kupata wanachama wengi huko target yetu sasa iwe na sera za kuvutia wazee na wakina mama ndo wapiga kura hao na pia vijana tuwavutie kwa wingi waje ujiunga na cdm faida za kuwatumia wale Tunaisi wataweza kusimamishwa na chama mwaka 2015


  i. Watu watakuwa washazijua sera zao itakuwa easy sana kwao kupita 2015

  ii. Hawatakuwa wageni machoni kwa watu

  iii. Jamii itakuwa inajua huyu mtu anatujali hata kabla hatujampa ubunge alikua pamoja na sisi

  iv. Ni raisi kwa mimi kumchagua Peter kwa sababu namjua nishamuona kama mara kumi na sera zake na misimamo yake naijua
  3. Yale Majimbo Tuliyoshindwa kwa Kura Ndogo Sana.

  Haya ni sawa na majimbo yetu ya na kutolea macho sana kura ziongezeke 2015 niaamini wale wanachama waligombea bado wapo tanzania wahimizeni wawe wanakwenda majimbo kuendeleza harakati kwa ajili ya mwaka 2015

  i. Kilombero japo dada yetu katutoka rip regia hili liwe jimbo letu CDM 2015

  ii. Kuna jimbo moja Kigoma tofauti ya kura ilikuwa moja hili liwe letu nalo

  iii. Segera japo walichakachua tuhakikishe tunaklinda kura

  iv. Bukoba mijini

  v. Na mengineyo najua yako mengi

  4. Piganieni Tume Huru ya Haki


  Harakati hizo zote hapo hazitawzekana bila Tume Huru na haki na kutoko kuchaguliwa na raisi
  .

  5. Mawakala Wawe Kila Kituo

  Hapa ndo udhaifu wa vyama vingi vya upinzani unapokuwepo hamuweki mawakala mkiibiwa kura mnalalamika

  6. Kina Mama wa CDM Mnalala Sana Sioni Harakati


  Enyi wabunge wa Viti Maalumu mmewekwa na chama muuitishe vikao vya kina mama kila mkoa kujua matatizo yao kuandaa solution kwa yale mtakayo weza na yale mtakayo fikisha bungeni kuyauliza maswali:

  i. Kina mama hawana maji mmekaa kimya tu au mmeshiba mshahara na posho za bungeni

  ii. Kina mama waporwa ardhi zao nyie mko kimya

  iii. Kina mama wanabakwa mmekaa tu fungue hayo macho jamani

  7. Naomba kamati kuu iwapunguzie majukumu wabunge wakae majimboni wajue shida za wananchi wao CDM mmepewa majimbo mengi mko kwenye mtihani jee na nyie ni kama CCM wabunge watulie majimbo kwao kusikiliza kero za wananchi wao.

  8. Shibuda huyu mzee tusimtenge hata kama ana tamaa ni wakati wa kumtumia atupe majimbo mengine Shinyanga jamani mnamuacha kama sio mbunge wa CDM naomba mumpe nafasi ahakikishe tunapata majimbo mengi kule Shinyanga

  Mwisho kabisa Lowasa kashanza kampeni now na sisi tuzianze jamani tukichelewa hakika tutamkuta mwana si wetu


  Mimi Majanikv
  Kutoka Mapangoni
   
 5. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Safi Sana Kamanda Majani, una mawazo mazuri sana. Ukombozi wa nchi hii unahitaji ubunifu kama huu. Tupo Pamoja kamanda MajaniKV
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kazi nzuri sana, big up mkuu!!!
   
 7. F

  FredKavishe Verified User

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asanteni sana matarajio yangu haya mawazo yatafanyiwa kazi mara moja
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa ushauri mzuri sana
   
 9. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Nipo Zanzibar..Natengeneza Mtandao na nitaongea na majembe kwa ukaribu mapema sana kujenga nguvu huku
   
 10. F

  FredKavishe Verified User

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pamoja kamanda
   
 11. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mkumbuke mawazo kama haya ni silaha nzito za kumuangamiza adui. Tunapo yaweka uchi mahali kama hapa ni sawa na kumuonyesha adui mbinu anazo takiwa kuzifanya ili akushinde. Nadhani wakati mwingine ni kuyatuma kwa viongozi ili wayafanyie kazi.

  Najaribu kuwaza tu kwa sauti.
   
 12. F

  FredKavishe Verified User

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimekuelewa mkuu
   
Loading...