Dr. Slaa Arumeru Wangekuuliza hivi..... UNGEJIBUJE?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa Arumeru Wangekuuliza hivi..... UNGEJIBUJE??

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Meitinyiku L. Robinson, Mar 19, 2012.

 1. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshma kwenu wakuu;

  Hizi kampeni zinazoendelea Arumeru zimezidi kuonesha picha ya mipasho, majibizano na tuhuma ambazo kimsingi si mahala pake. Mi nadhani kazi walizo nazo wagombea, Kampenin Meneja na viongozi wao ni kumnadi mgombea wao na kuhakikisha kuwa Sera pamoja na Itikadi zinawafika ipasaavyo wananchi ambao ndio Maboss wao.

  Na kama si uuzwaji wa Sera basi waendelee na kutanabaisha UDHAIFU wa wapinzani wao na si Personal attacks. Nimeshangazwa na namna ambavyo Dr. Slaa naye anaendeleza tabia ile ile ambayo Vijana wake wameanza nayo ya kushambulia mtu kwa mtu mi nilidhani yeye angetumia busara kurekebisha.

  Jana katika Mkutano Dr. Slaa alikaririwa akimtaka Wassira ati kama anaushahidi wa Ufisadi alioufanya akiwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu basi aende Mahakamani kumfungulia shitaka sasa nami nimepata taabu kidogo kama Dr. angeulizwa ni kwa nini na yeye hakuwapeleka wale aliowaita mafisadi (ref. list of shame) Mahakamani kama alikuwa na ushahidi?? Hizi ni athari za kutupiana maneno mtu kwa mtu manake wakati mwingine unaweza kuonekana mwongo ama kusahau pale ambapo unasimamia.

  Sera kwanza mipasho baadae...
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Aisee.......naona unalinganisha visivyolinganika..walau Dr alituonyesha ushahidi na akataja na figures kabisa...huyu Wassira kashindwa hilo........halafu si kazi ya Slaa kupeleka mahakamani watuhumiwa ni kazi ya serikali ambayo Wassira ni sehemeu yake!
   
 3. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu naona nawe u biased kwa kiasi flani... Kwa nini hukumuandika Wassira alipoyasema haya dhidi ya Dr. Slaa??? Au aliyoyasema Wasira hazikua Personal Attack???

  Kingine ni kuwa Since Wassira aliyazungumza hayo Jukwaani then I guess Dr. Slaa nae kaamua kumjibu katika Jukwaa, na aina hii ndiyo SIASA za Tanzania zilivyo kwa sababu kila Mwanasiasa at a certain point alishafanya madudu flani.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  JF tuna jukumu la kunyoosha siasa uchwara, unfortunately siku zinavyokwenda sie tunakua sawa kabisa na uchwara wenyewe
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Swali zuri sana mkuu, ila watanzania tumetekwa na ushabiki, hatusumbui vichwa vyetu kutafakazi maneno kama haya. Hivi kweli kwa nini SLAA akiguswa anakimbilia kusema kma kuna ushahidi na waende mahakamani, yeye wakati anataja listi of shem hakujua kama kuna mahakama au alitudanganya ili apate umaarufu.
   
 6. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mifano ya ng'ombe na kuku hakuna uhusiano hapo.
   
 7. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ukitumwa tena kifisadi usiende...SLAA Hawezi kumpeleka mtuhumiwa wa ufisadi mahakamani..mhusika mkuu ni SERIKALI...pesa zilizotafunwa ni za serikali...yeye alichokifanya ni kukuonesha mwizi ni yupi .tena akakupa na ushahidi ndo maana hadi sasa kuna wengine wameshashitakiwa na wenyine wamejiuzulu ubunge tayari...

  Fikiria kabla ya kutennda au kuwasilisha mada ,usikurupuke kwa kusukumwa na mapenzi binafsi na mlo wa siku moja kama ESAU tumsomae kwenye vitabu vitakatifu...nahsi hata tukikupa kijiji huwezi ongeza hakika kwa sababu nafsi yako imefunikwa na giza tena nene lililosheni uhuni,chuki,ubnafsi,rushwa na tamaa....

  Lakini siyo makosa yako nahisi ni malezi.....utabadilika tu.

  KWA KHERI...
   
 8. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Achana na dr. Wa ukweli ni kichwa kuliko uonavyo na kumsikia ..wewe endelea na posho za kifsadi tu..usiwaze kingine
  kwaherui....
   
 9. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Wakubwa,
  Kupanga ni kuchagua. Nimekuja Arumeru kufanya kazi iliyoko mbele yetu. Pamoja na njema ya kutaka kutoa usahihi wa taarifa kila inapohitajika, kupashana habari ninachagua sasa kufanya kazi Arumeru. Sitapoteza muda wangu muhimu kwenye kujibu propaganda au jambo ninaloona halina tija kwa wananchi wa Arumeru au maneno ya kulishwa kama mtoa thread hii anavyofanya. Wenye nia njema wafanye kwanza utafiti. Wanafalsafa wanasema adhabu ya mpotoshaji, mwongo,mzushi ni kum ignore.
   
 10. Mzee Nyani

  Mzee Nyani Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  We nae ulisha ambukizwa tabia za kishabiki shabiki.
  Jibu hoja,kwanini hukupeleka unao waita mafisadi mahakamani?
  Mbona umeweza kufukuza watu chamani na kumuweka mtu wako
  ulishindwa nini kuiga mfano wa Mtikila?
  tumechoka na uongo wa wanasiasa (najua utasema "tumechoka" namuwakilisha
  nani,nawawakilisha watanzania wote,utaona arumeru kwamba kweli tumechoka
  na ngonjela sizizo na mashiko wala matendo)
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Slaa naye fisadi
   
 12. Mzee Nyani

  Mzee Nyani Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hapa ndipo napo muheshimu mutikila,hana ubabaishaji wa hovyo hovyo
  kama wanasiasa wengine,yeye kama mtanzania ni haki yake kumshitaki yeyote
  anae iba mali za serikali.

  Dr.Slaha hana chembe ya ukweli.
   
 13. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Na mimi nimejiuliza sana swali hilo na kujiridhisha kwamba Dk wa kweli Slaa ametoa majibu mepesi kama ya EPA, Meremeta na Richmond anaowatuhumu kila kukicha.

  Kashindwa nini Dk wa uhakika kutoa majibu ambayo yanalingana na elimu yake?
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ni kazi ya mlalamikaji kupeleka mtuhumiwa mahakamani na anaweza kuwa yeyote mwenye ushahidi wa kufungua mashitaka.
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mtoa hoja hajalaumu Dk Slaa kumjibu Wassira jukwaani bali anadhani badala ya kujibu tu angeleta ufafanuzi wa tuhuma dhidi yake kwa ufasaha zaidi ili kuondoa kiwingi alicholeta Wassira kule Arumeru. Mbaya kuliko ni kwamba tuhuma za Dk. Slaa kuiba fedha za kanisa na kufukuzwa upadri ziko mitaani ilikuwa ni nafasi ya Slaa kuleta maelezo yatakayosaidia jamii kupata jibu sahihi.
   
 16. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi nipo against na slaa katika mambo mengi lakini hili lakumdhalilisha kwa post za aina hii si zuri. kumbuka kuwa ameingia hapa kwa jina lake halisi, kwa hiyo tujaribu kuwa na lugha za kistaarabu. huu ni mtizamo wangu. huwa najizuia sana kuandika kihuni kwa mtu aliyekuja na ID yake halisi. Sorry.
   
 17. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  WanaJF,
  Narudia tena lengo la ku divert attention toka Arumeru to Non Issues hazitafanikiwa. Mimi niko site, nafahamu wana Arumeru wanahitaji nini at this matterial time. Thread hii na nyingine ya aina hii sitapoteza tena muda wangu. Nahitaji Nassari ashinde. Time is money. I will do what my res responsibility demands of me and my answerability for time being is to Wana Arumeru na Watanzania wote ambao kwa dhati wanapiga vita ufisadi, wanataka mabadiliko ya kweli.
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Mnachekesaha kweli nyie mawakili wa mafisadi.........kwa sheria ipi?
   
 19. m

  mzizi dawa Senior Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha ukichaa wewe dr aliwataja na akawa na ushaidi,kazi yaku wapeleka mahakamani nikazi ya dpp,usha elewa we gamba?
   
 20. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Hivi unafikiri kuwa kila kesi inaweza kufunguliwa Mtikila style?? Kuifungulia kesi selikari ambayo inahitaji pia ndiyo inahitajika kuto ushahidi unafikiri ni mchezo au rahisi??? Hivi hujawahi kufuatilia ni kesi za aina gani ambazo Mtikila amekuwa akifungua?? Hivi hujui ni kwa nini viongozi wengi huwa wanashtakiwa baada ya kutoka madarakani?? Mfano wa karibu Mubarack (Egypt), kwa nini mabillion yake yalijulikana hours tu baada ya kuachia ngazi??
   
Loading...