Lowasa ukikanyanga Arumeru----ukikanyaga Arumeru------ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa ukikanyanga Arumeru----ukikanyaga Arumeru------

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KIROJO, Mar 19, 2012.

 1. K

  KIROJO Senior Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alitoa tahadhari kwa mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisema kuwa CHADEMA inamsubiri kwa hamu aingie katika uchaguzi wa Arumeru.

  “Nataka kumwambia Lowassa kuwa tunamsubiri kwa hamu aingie kwenye hizi kampeni, akikanyanga Arumeru…akikanyaga Arumeru…akikanyaga Arumeru…tunajua kuwa yeye ni Mmeru aliyejibadili na kujiita Mmasai, tunajua madhambi yake mengi tutayafumua yote, tunaomba aje,” alisema Lema na kuongeza:

  “Juzi nimesikia kuwa mgombea wao katika kikao cha ndani aliomba kujitoa katika kampeni hizi wakamkatalia, maji yameshawafika shingoni sasa aende akagombee ubunge huko Uingereza ndiko wanatoboa masikio.

  Ndugu zangu haki haiombwi haki inapiganiwa, mwizi ni mwizi tu hata kama angekuwa baba yako, msiwaruhusu kabisa watembee usiku na kuhonga watu au kuiba shahada za kupigia kura.

  My take ;Lowasa anamjua Lema alivyo ,kama hamjuwi....fatilia kesi yake ya kupinga matokea ndo utajua picha halisi

  SOURCE:
  TANZANIA DAIMA 19/03/2012
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lowassa ni zaidi ya umjuavyo.Ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa sana ktk jamii hii ya Watanzania. Time will tell.
   
 3. K

  KIROJO Senior Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kivipi panua maelezo sio kutoa ushawishi ili tushawishike
   
 4. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  lema ameshaporomoka kisiasa yule hana hata uhakika wakuludi bungeni ndio maana anajitahidi kumalizia kale kanyumba kake pale sanawari
   
 5. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sema ni mtuu wakuhonga hakuna ushawishi hapo
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  chuki binafs juu ya lema hazijengi, kwa taarifa yako sisi watu wa Arusha ndio tunaotambua mchango wake huku ila we mpuuzi ndo unaropoka2.
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pia Awaeleze Wameru kwanini alihamua kuteka mradi wa maji baada ya maji yanayotoka chini ya mlima meru kuwanufaisha wameru ambao ndiyo wazawa yeye akayapeleka monduli mpaka leo wameru wanaangaika na maji kinachouma ni kuyaona yakifaidiwa na watu wa monduli.
   
 8. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lakini hata 6 mwenyewe kwenye kanisa moja alikiri kwamba ' namwaminia sana kijana wangu huyu lema. Ni mpambanaji'
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,467
  Trophy Points: 280
  sijaelewa unataja kusema lema part2 ya wasira fafanua.!
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  @mkalama-Matongo, Duh, free M wanaushawishi dunia nzima, hata huyu hatutashangaa.
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Lema'z another martin luther king jr
   
 12. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo kwenye RED hizo ndiyo sera au?
   
 13. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Sera kwani akina wasira wao wanaimba mapambio?
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu, naona umepotoka unafananisha Mlima Kilimanjaro na Mlima Nyashana wa Mwanza..

  Martin Luther King jr. alikuwa anapanda juu ya gari huku katanua miguu huku gari linakwenda mwendo kasi wafuasi wake wanashangilia?

  Lema, ana uwezo wa kumtisha Lowassa kwa lolote ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi wa Lowassa.
   
 15. K

  KIROJO Senior Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ritz at work,msaburi na makameron
   
 16. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Lema na Chadema yake wakishinda Arumeru east naomba modi kipindi wanipige BAN jukwaa la siasa milele, hii ni endapo Chama cha Deni na Majungu(CHADEMA) kitashinda.
   
 17. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  leo umekula bamia sahani kumi,2mbo linakudrive
   
 18. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Laigwanan afundishwi uwoga .
   
 19. m

  massawe7 Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si yuko fiti kwa mapambano.....na aende azione rangi
   
 20. m

  massawe7 Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jf please kuna virangi vya icons watu tuna aleji navyo si muweke rangi za maanaaa lirangi la kijani nani anataka ona kama hako ka online member kamekaa kama rosti tamu la azizi ona na haka[​IMG] si mnatuchefua sisi wengine wekeni mavitu ya maana bana
   
Loading...