Arumeru shida zenu zote mlizo nazo zimeletwa na ccm

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Hili haliitaji kuwa na degree au tochi kugundua hili.

1. Kahawa
Nani asiyejua kuwa mikaa ya nyuma zao la biashara kwa wameru lilikuwa kahawa,lakini kwa sera mbovu zikiongozwa na ccm zilichangia zao hilo kupoteza bei katika soko.wanalipi la kujitetea?

2. Ardhi
Nani asiyejua kuwa ccm kupitia serikali ndiyo wameshiriki kugawa ardhi kwa mafisadi wanaowaita wawekezaji(kimaro type) na kuwaacha wameru wakigombea ardhi.jamani mnadanganywa nini na ccm?

3.Maji
Katika kitu ambacho wameru hawatakuja kukisahau ni pale aliyekuwa waziri wa maji by then alipoamua kuchukua maji kutoka kati vyanzo vya mlima meru kupeleka monduli.leo hii wanakuja na ahadi kibao uongo mtupu.

Wameru achaneni na wagombea wanaishi dsm wanakuja huko kuwarubuni then wanarudi zao dsm.
Haya matatu yanatosha kabisa kuwawajibisha ccm katika uchaguzi huu.

Naomba kuwasilisha
 
Ni changamoto tuliyonayo Watanzania. Si Arumeru tu, ni sehemu kubwa ya nchi yetu, watu bado hawana a thorough thinking kuhusu politiks. Mwisho wa siku, watu wanajuta kwa maamuzi yao wenyewe waliyofanya ktk kijisanduku cha kupigia kura. Bado tunayo safari ndefu kubadirika.
 
Mbowe ni Mbunge wa Hai anaishi hai? SLAA alikuwa Mbunge wa Karatu amekwenda karatu mara ngapi enzi za ubunge wake? au ndiyo maana wananchi wa hai hawana mpango tena Mbunge huyo mwaka 2015?
 
Ni changamoto tuliyonayo Watanzania. Si Arumeru tu, ni sehemu kubwa ya nchi yetu, watu bado hawana a thorough thinking kuhusu politiks. Mwisho wa siku, watu wanajuta kwa maamuzi yao wenyewe waliyofanya ktk kijisanduku cha kupigia kura. Bado tunayo safari ndefu kubadirika.

Ni kweli kabisa Wananchi watakuja kukipa ridhaa CHADEMA siku kikiamua kumwaga sera badala, kutukana na kukashifu wapinzani wao. Lakni naamini Watanzania tulio wengi tumeshashtukia kuwa siasa za aina hii ni bura zikapuuzwa na watu wakajikita kukiunga mkono Chma cha tawala na kukipa support ili kupambana na umasikini, ujinga , maradhi na sasa wapinza maendeleo.
 
Mujwahuzia:
Watanzania kulitambua hili ni safari ndefu sana walio wengi bado akili zao ni CCm tu ona mfano Harrison Mwakyembe anakufa anajiona lakini yeye na CCm yake tuuuuuuuuuuuuuuu sembuse hao ndugu zetu wa vijijini ambao hata matangazo ya nchi yao kuyapata kwao ni shida.
 
Changamoto bado ni nyingi, maana hata maoni kama haya wanaweza kuyapata kupitia simu zao sema tu kwamba hawajapata elimu, maana hata mitandao ingetumika kufanya kampeni hasa huko Arumeru kwa mitandao inapatikana!!
 
Pamoja na Matatizo yote yaliyosababishwa na CCM, CCM wanajua kucheza na akili za wapiga kura. wakianza kulia mpaka wananchi wanawahurumia, matatizo yanaongezeka mara mbili.

Arumeru Amkeni!
 
Back
Top Bottom