Naomba radhi Tume na Chadema

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Mimi ni mwanachama wa ccm mwaminifu kabisa.

Tukio la waandishi kupigwa tumelipanga sisi tukiongozwa na katibu wa uvccm wilaya ya monduli Ezekiel Mollel kwa uratibu wa James millya ambae ndio ametoa sh.milioni 4 kunipa mimi na kuwatafuta vijana ambaye kila mmoja nilimpa laki laki kwa kazi hiyo.

Kikao cha kupanga hujuma hiyo ambayo lengo ni kuisingizia chadema tulifanyi Lush Garden kwa Idd alhamisi saa 6 usiku na nikapewa siku tatu kwa utekelezaji zaidi. Millya aliniambia pamoja na Ezekiel kuwa ameagizwa na mzee Sendeka kufanya tukio ambalo kwalo chadema watashutumiwa na kubambikiwa shutuma za fujo kwani ccm wamezidiwa na wamejaribu kila njia zimeshindikana.

NAOMBA RADHI PIA WAANDISHI. NAPENDA MAGEUZI NDO MAANA NIMEJITOKEZA KTK SAFU HII.
 
Content inashawishi kana kwamba ni kweli. Staili ya uandishi inashawishi kana kwamba imepangwa na Chadema. Nashindwa kuamua sawasawa lakini nina yafuatayo:
-Sendeka anajidanganya, hawezi kusamehewa na Millya wala Lowasa
-Milya na Lowasa hawawezi kupatana na Kikwete
-Sendeka amebabaika sana, atatupwa na akina Sitta na Milya atachukua jimbo lake.
Kutumika kuna mafao machungu sana.
 
mkuu kafie mbali huna maana kabisa unaleta story za ajabu hapa! njoo kwajina lako hapa! lasivo kafie mbali!
 
ona akina Rev wengine hawa

sasa ukianza kuwatukana CCM utaambiwa una chuki na CCM wakati mnajidhalilisha
 
ni umekaa na kutafakari niweke nini humu jf ili watu washawishike kuchangia ukaona uje na uongo wako wa kusingizia watu?
 
Sendeka na James Millya ni paka na mbwa (sijui paka ni yupi na mbwa ni yupi - utajaza mwenyewe) hawakai pamoja, issue ya kofi bado ipo tete hadi leo; wee unasema....pepepe....mwaminifu? Uko wapi uaminifu wako kama ni kweli si ungepiga kimya?

Acha uongo Mujuni....... mtu mzima *******o!
 
Mimi ni mwanachama wa ccm mwaminifu kabisa.

Tukio la waandishi kupigwa tumelipanga sisi tukiongozwa na katibu wa uvccm wilaya ya monduli Ezekiel Mollel kwa uratibu wa James millya ambae ndio ametoa sh.milioni 4 kunipa mimi na kuwatafuta vijana ambaye kila mmoja nilimpa laki laki kwa kazi hiyo.

Kikao cha kupanga hujuma hiyo ambayo lengo ni kuisingizia chadema tulifanyi Lush Garden kwa Idd alhamisi saa 6 usiku na nikapewa siku tatu kwa utekelezaji zaidi. Millya aliniambia pamoja na Ezekiel kuwa ameagizwa na mzee Sendeka kufanya tukio ambalo kwalo chadema watashutumiwa na kubambikiwa shutuma za fujo kwani ccm wamezidiwa na wamejaribu kila njia zimeshindikana.

NAOMBA RADHI PIA WAANDISHI. NAPENDA MAGEUZI NDO MAANA NIMEJITOKEZA KTK SAFU HII.

This sounds stupid and reflects a person who has not gone to school. No more comments. Keen
 
ona akina Rev wengine hawa

sasa ukianza kuwatukana CCM utaambiwa una chuki na CCM wakati mnajidhalilisha

Waberoya mshkaji wako Baharia Mutuz ameenda Arumeru kama alivyoahidi au alikuwa anatoa porojo hapa jamvini????
 
Back
Top Bottom