MBOWE: Mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM: Je ni dalili ya kuishiwa SERA?.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MBOWE: Mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM: Je ni dalili ya kuishiwa SERA?....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kakakuona40, Mar 20, 2012.

 1. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA alisema ARUMERU huku akimpigia debe mgombea wa chama chake kuwa mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM , watu wengi hasa washabiki wa CDM wameanza kuitumia kauli hii bila kujua alitoa wapi vipimo hivyo hili limenisikitisha sana.
  Kiufupi ni kwamba alichukua Idadi ya wabunge wa CCM na kugawa kwa wabunge wa CDM na akapata on average ratio ya 1:30, sasa kama kwa mtazamo wa MBOWE kama hicho ni kipimo sahihi vipi UDP maana mbunge mmoja wa UDP ni zaidi ya wabunge 200 wa CCM hapo napo pamekaaje maana ratio ni 1:>200?

  Huu ni uthibitisho wa kuwa sera za chama zimeisha na yaliobaki ni MAIGIZO tu, ninawaomba vijana walio CDM muangalie kutake over hii post hali sio nzuri hata kidogo, mpeni nafasi mwenyekiti wenu kuendelea na biashara huku akiwa mshauri wa mapato n.k.

  Mwisho nawaomba wapenzi wa CDM muwe makini na kauli za viongozi wenu msizitumie maana nimeona JF watu wameanza kuzitumia bila kujua zinatoka wapi.

  Namuunga mkono Peter Kuga Mzirai uraisi 2010

  Ni hayo tu.
   
 2. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  unaonekana mpya jana tu lakini unaonekana umejisajili kwa ajili ya kuiponda chama tishio kwa ccm tu huna jingine ...jitahidi na vihoja vyako visivyo na tija haitwi mboye ni mbowe.
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  yaani wewe threads zako zote hazina kichwa wala miguu. unaweza kutuwekea picha ya mtu anayeitwa "MBOYE"?
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  SecondID
  Kwanza karibu sana JF, Hapa JF kuna Majukwaa Mengi sana unayoweza kushiriki na kujifunza mambo mbalimbali hata kuburudika pia,

  Pia haulazimishwi kuchangia kila mada, na haubanwi kishiriki kwenye mada za aina moja tu kama unavyofanya wewe na mada zako za kuishambulia chadema.

  Hivyo napenda kukukaribisha rasmi kwenye Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki, na kwa sababu hauna Boyfriend uko utakutana na ushauri wa jinsi ya kupata Boyfriend ambaye mwisho wa asiku mnaweza mkajikuta mmefunga ndoa na wewe ukapata sifa ya kuitwa Mama fulani siku za usoni. Kwa kipindi cha sasa hii itakusaidia kukuondolea msongo wa mawazo ulionao.

  Karibu
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Badala ya kutumia muda kufikiria nini maana ya kauli za kisiasa, wewe unakurupuka kuleta thread huku! Lol, umenichosha mkuu! Hivi kila mtu akisikia kauli za wanasiasa na kuzileta kwa style yako tutaweza kufikiria kweli?
   
 6. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Naona kwa siku hizi chache zilizopita CCM imewewawezesha vijana na watu wengi sana kufungua ID nyingi sana na kuwaambia waanze kurusha mambo yao hapa jamii Forum. Shida yangu ni moja tu na watu hawa, inaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wao katika uchambuzi wa mambo ya kisiasa ni mdogo sana. Sijui ni kwasababu ya Shule zetu za Kata au? yaani ukiwa makini na kusoma thread wanazoanzisha, hakika utajilaumu ni kwanini umepoteza muda wako kusoma hiyo thread, kwani hakika hakuna hata logic wala mantiki. Mara title haina uhusiano na contents, mara contents haina uhusiano na hitimisho, n.k.

  Ushauri wangu kwenu,
  Mjaribu kutuletea habari zenye mantiki japo sisi wasomaji wa JF tuweze kuona nini mantiki ya hiyo thread na si kutupotezea muda wkt mnachokiandika hakina mantiki? Pia, haitaji hata elimu ya shule zetu za kata mtu kutambua msimamo wako (hata signature yako) kufikisha ujumbe kwamba ni nani amekutuma kutuandikia ***** wako hapa. Pia mnapaswa kufahamu kwamba siyo wote humu ni CDM. Kuna watu kama sisi ambao tulikuwa CCM lkn kwasasa hatuna chama, hivyo tunapenda kuona hoja za maana hapa JF na si hoja kama hizi ambazo zinatuonyesha kwamba hili eneo siyo lako, kwani uwezo wako siyo ktk analysis ya kisiasa.
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  MBOWE kakosea, the right figure as far as I am concerned ni 1 wa CHADEMA ni sawa na wabunge 60 wa CCM, and I am being very conservative.

  Lakini SecondID, hii kauli aliitoa Mbowe more than a week ago. How long it takes you figure out Mbowe kasema nini? No wonder CCM wamekuwa wana-sign mikataba mibovu. such a bunch of slow learner!
   
 8. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ukiwa na akili za maiti unajilikana tu wajanja wanakupuuza
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  You are wrong
  this guy does not have an energy to help him figure out any thing. Here we are reading the writings of a demon
   
 10. E

  EmeraldEme Senior Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Point of correction, haitwi Mboye anaitwa FREEMAN MBOWE...Kuwa makini unapo finger point watu...
   
 11. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ccm walijaribu kuiburuza katiba mpya kwa wingi ila chadema kwa hoja wakamvaa mwenyekiti wao akakubaliana nao na akakiri chadema wana hoja.

  sasa hapondipo fomula ya mbowe ilipo lala.

  chadema wameingia tanga na sera ya kufufua zao la mkonge ccm walishaikataa bungeni sasa wamekaakikao tanga na kukubaliana na hoja za chadema.

  chadema walipinga kuongezwa posho ccm kwa wingi wa mapepeta wakafikiri wanaweza kupitisha,lipo wapi?

  chadema walitoa list of shame ccm wakapinga ila leo wanakiri si hao tu ndani ya chama cha ni kwamba chama kimeoza (kauli ya nape)

  bado hujaamini tu kuwa mbunge mmoja wa chadema sawa na hao pepeta sijui wangapi?
   
 12. N

  N series Senior Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  masaburi unayo, wenzio wanatumia kunyea wew unafanya ndo brain yako????????
  ulivyo relate hiyo kitu umenifanya nikuzarau sana, si amini kama ukubwa wote huo wa mwili wako sio proporional na akili yako, kumbe bora hata akili ya mwanao criss unamuuliza mambo? anakujibu sijayaona, hahahah.
  tope kweli imejaa hapo kwa ndonga

   
 13. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Na hsi ww ni kijana ila unaakili za mzee,au la una fuvu la kichwa hauna ubongo, au la, huelewe kinachoendelea bungeni, na Tz kwa ujumla. We ni limbukeni hujui hata jina la unayemzungumzia, haitwi MBOYE, anaitwa Mh MBOWE. Pili elewa hyo ration sio ya namba ni ya mawazo, huna haja yakuona aibu kuambia hvyo, bado kunapakukimbilia ambako labda watu wenye akili kama zako watakuwa wanahtajika (CCK). Tatu, je unamwakilish mjengoni? Ametoa maoni mara ngapi? Amekusemea shda za jimboni kwako mara ngapi we mjinga(mtaji wa ccm)
   
 14. N

  N series Senior Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimecheka sana mkuuu, kwahiyo huyu binti ni upweke na stress zinampa tabu?????????
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,806
  Likes Received: 36,844
  Trophy Points: 280

  Ni hali ya kawaida kabisa kwa reasonable man kusema haya aliyoyasema mbowe.
  Kwani CCM ina wabunge wangapi na CDM wangapi bungeni???
  Je, mivutano ya hoja inayoendelea bungeni inalingana kwa vigezo vya uzito wa hoja au idadi ya watoa hoja bungeni??
  Kama ni vigezo vya idadi ya wabunge, je kwa kugawanya kila mbunge 1 wa CDM atakua anavutana na wabunge wangapi wa CCM??
  Kama ni vigezo ni vya uzito wa hoja, je mbona ZITTO KABWE alitupwa nje ya bunge just because alitoa hoja nzito iliyotikisa bunge zima ilihali walikua wawali tu na SLAA ndani ya bunge zima??
  Namshauri Nape asiilipie hii sredi coz umeiandika ki-layman sana.
   
 16. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  correction kidogo:

  Walipinga kuchukua posho, kisha wakaendelea kuzivamia tena kwa fujo! nafikili hapo ndo kipimo kilipo!
   
 17. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Huo ndio ukweli, hutaki unaacha.
  Sugu yeye peke yake ni sawa na akinaluku'vi' arobaini ivi
   
 18. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umejenga hoja vizuri sana, nyie chadema mnatakiwa mjibu hoja malalamiko pelekeni police, hili ndio tatizo la hawa wafuasi wa chadema wanaposhindwa kujibu hoja hukimbilia matusi, tambueni kuwa kwenda shule na kuelewa ulichofundishwa ni vitu viwili tofauti, unaweza kwenda shule na kichwani nothing.
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Uthibitisho jinsi kauli za CDM zinavyowakosesha usingizi!...
   
 20. Panga la Yesu

  Panga la Yesu JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vema ukamuomba Nape Awe ana fanyia edit thread zako au FirstID walau uwe na mtiririko unaokubalika, usitupotezee muda tafadhali
   
Loading...