Katika hali isiyokuwa ya kawaida kundi linalosadikika ni la green guard la ccm wamekuwa wakifanya vitendo vya utekaji wa viongozi wa chadema, waliotekwa pamoja na mwenyekiti wa kata wa chadema na mwenyekiti wa tawi la magadilisho pia mwingine ametekwa jana makumira ndugu na jamaa walimtafuta jana usiku mpaka sasa haijulikani kama wamempata.vile kundi hilo lilijaribu kuteka nyumaba ya kulala wageni ambapo kuna viongozi wa chadema.Baada viongozi wa chadema kuwapigia wenzao waliokuwa jirani na hapo hilo kundi likatokomea kusikujulikana