Chadema yakubali kushindwa tarime?

Status
Not open for further replies.

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
Kwa mujibu wa first hand information kutoka Arumeru ni kwamba chama cha demokrasia na maendeleo,kimeanza kuonyesha dalili zote za kushindwa uchaguzi huo! ile morali iliyokueko mwanzoni kabisa sasa imeisha, mfano katika mkutano mmoja wa kampeni uliofanyika katika shule moja ya sekondari mkutano huo uliudhuriwa na wafuasi wachache sana wa chama hicho! magwanda yao yamekuwa hayavaliwi sana huku Nguo za KIJANI za chama tawala zikizidi KUTAMALAKI! swali langu, je CHADEMA ndo wamekubali KUSHINDWA?
 
mods .... ondoeni huu uchafu ..... kichwa cha habari kinataja tarime ...... habari inataja arumeru
 
yaani ukishapewa 2000 basi unakimbia haraka jf kuja kuandika bila hata kujua unaandika nini. nadhani baada ya kuona mnaelemewa sana huko arumeru mmeamua mjifariji hapa. wapiga kura wa arumeru hawapo hapa jf hivyo mnapoteza muda wenu bure hapa.
 
Asante sana mkuu kwa taarifa:
Kweli hali si nzuri hata kidogo na soon itakuwa historia, sisi tulikupenda ila bwana kakupenda zaidi.
 
Tarime tena? Jamani acheni kukurupuka na siredi zenu za kipropaganda kama mnatafuta pa kuzifanyia nendeni pale maji ya chai!!
 
Arumeru = Tarime?? Mkuu rekebisha hata hiyo heading yako, ingawa contents hazinihusu!!
 
Tarime tena? Jamani acheni kukurupuka na siredi zenu za kipropaganda kama mnatafuta pa kuzifanyia nendeni pale maji ya chai!!
Jukwaa la siasa limegeuka chit chat toka kampeni za Arumeru zianze. Mods hawaoni au?
 
Kwa mujibu wa first hand information kutoka Arumeru ni kwamba chama cha demokrasia na maendeleo,kimeanza kuonyesha dalili zote za kushindwa uchaguzi huo! ile morali iliyokueko mwanzoni kabisa sasa imeisha, mfano katika mkutano mmoja wa kampeni uliofanyika katika shule moja ya sekondari mkutano huo uliudhuriwa na wafuasi wachache sana wa chama hicho! magwanda yao yamekuwa hayavaliwi sana huku Nguo za KIJANI za chama tawala zikizidi KUTAMALAKI! swali langu, je CHADEMA ndo wamekubali KUSHINDWA?

CCM KUNA VICHWA. Tumekupata mr.TARIME
 
Huyu kashoga ana masters! Watu wa propergundi wa magamba kama tambwe hiza vile..nilidhani thrid ya 2008 tarime kumbe ni wale wa buku mbili
 
Akili za maiti hizo we uko chumbani kwako tuu unaropoka c tupo arumeru nataka aliye arumeru ndo aseme alaaa alaaa eti kashaga au kashangazi
 
Kashaga, fanyia marekebisho hiyo heading basi.
Au unamaanisha Tarime kikweli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom