Bidii yetu itaingiza chadema madarakani.

mwitaz

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
315
93
Makamanda wote JF, Umoja ni nguvu katika juhudi yoyote ikusidiwayo katika kuleta mafanikio...
Ndugu zangu mafanikio yetu yamo katika msemo huu 'BIDII YETU ITAINGIZA CHADEMA MADARAKANI' ambalo pia ni kundi katika mtandao wa www.facebook.com
Jamani hakuna mafanikio bila juhudi na maumivu, hivyo basi lazima tukubali:-
1. Kulala na kushinda njaa,
2. Kupigwa kwa vilungu,
3. Kumwaga damu,
4. Kupigwa na mabomu ya machozi,
5. Kufungwa jela kwa kubambikiwa makosa>
kwa kifupi kunyanyaswa kivyovyote vile katika harakati za kuingiza CHADEMA madarakani..
Nina Imani kuwa CHADEMA ni chama imara ambacho kitaongoza Tanzania na kitaleta MABADIRIKO yatakayoleta hisia
¡). Itakayo onekana machoni mwa Watanzania
¡¡). Itakayogusa nyoyo za Watanzania
¡¡¡). Yatakayokubarika si na Watanzania tu bali walimwengu wote...
Watanzania wenzangu, huu ni mwanzo mpya, mwamko mpya unaohitaji BIDII YETU KATIKA KUINGIZA CHADEMA MADARAKANI, na hivyo basi ni lazima tujikaze kisabuni:-
a). Kugugutusha,
b. Kuelewesha,
c. Kuelimisha na
d. Kuhamasisha jamii pana ya Watanzani kuhusu unyanyapa, ugandamizaji, ufisadi, maongozi mabovu, siasa mbaya, elimu mbovu, ubepari, ufujaji wa mali za umma na matumizi mabovu ya dola; yanayoendelezwa na
¤. CHAMA CHA MAPINDUZI,
¤. CHAMA CHA MABEPARI,
¤. CHAMA CHA MAFISADI,
¤. CHAMA CHA MAGAMBA,
¤. CHAMA CHA MAOVU,
¤. CHAMA CHA MAAFA..
Mwana JF, Pamoja tunaweza.
Nawasilisha.
 
Makamanda wote JF, Umoja ni nguvu katika juhudi yoyote ikusidiwayo katika kuleta mafanikio...
Ndugu zangu mafanikio yetu yamo katika msemo huu 'BIDII YETU ITAINGIZA CHADEMA MADARAKANI' ambalo pia ni kundi katika mtandao wa Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
Jamani hakuna mafanikio bila juhudi na maumivu, hivyo basi lazima tukubali:-
1. Kulala na kushinda njaa,
2. Kupigwa kwa vilungu,
3. Kumwaga damu,
4. Kupigwa na mabomu ya machozi,
5. Kufungwa jela kwa kubambikiwa makosa>

6. Kutotukana matusi ovyo
.

Matusi hayabadilishi watu hufanya watu wawe na kiburi
 
Ni mawazo ya maana sana hayo kwetu. Pambaneni kwa uhakika bila kuchoka kwani tunahitaji second Tanzania's Liberation na hii haitaletwa nchini kupitia CCM hata siku moja!!!!
 
Kwani cdm lini mmekuwa chama cha masikini? Mmebaki kutajana tuuu, mdee, mnyika, zito, mbowe, du, mara huyu kamlea yule, yule kmleta chamani huyu, nitajiunga nanyi cku mkimaliza balehe, chama Kama kikao cha send off? Elezeni sera basi, tunajua bila slaa cdm kwishne,
 
Kwani cdm lini mmekuwa chama cha masikini? Mmebaki kutajana tuuu, mdee, mnyika, zito, mbowe, du, mara huyu kamlea yule, yule kmleta chamani huyu, nitajiunga nanyi cku mkimaliza balehe, chama Kama kikao cha send off? Elezeni sera basi, tunajua bila slaa cdm kwishne,

Uyasemayo hayana faida kwa umma kwani hayamnyima Mtanzania haki zake za Kimsingi kama vile wana CCM wanyimavyo watanzania..

Kwa Moyo mkunjufu nakuomba ujiunge na CHADEMA katika harakati za kupinga:-
1. Ukoroni mamboleo,
2. Ufisadi,
3. Ubepari,
4. Ugandamizaji,
5. Unyanyasaji,
6. Uchakachuaji wa kura,
7. Uongozi mbovu,
8. Uongo,
9. Uzembe wa kuchunguza mikataba kabla ya kusaini
10. Ulemavu wa fikra za CCM.........
......ongeza 'U' kadri uwezavyo kupinga CCM wakati ukijianda kuwa KAMANDA wa CHADEMA.
Nawasilisha kukujibu.
 
Mkuu, ''wa kunyumba'' umesomeka vizuri sana.
Endeleza harakati kwa nafasi yako na hatimaye siku moja ambayo haiko mbali tutaishuhudia chadema ikichukua usukani wa kuwaongoza watanzania.
 
Back
Top Bottom