Kituko kwenye harambee "Movement 4 Change"

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,207
42,068
Dunia kweli ina mambo. Wakati changizo likiendelea ,alijitokeza jamaa mmoja aliye jitambulisha anatokea singida akasema " kwetu singida hakuna mbunge,tunaye kijana wa ccm ambaye ni mzinzi,tunawakaribisha sana jimboni kwetu.

Natoa million 1 na laki 5 nitatoa kesho" jamaa alikuwa akiongea kwa hisia sana na kuonekana kukelwa na jambo hilo.
 
Dunia kweli ina mambo. Wakati changizo likiendelea ,alijitokeza jamaa mmoja aliye jitambulisha anatokea singida akasema " kwetu singida hakuna mbunge,tunaye kijana wa ccm ambaye ni mzinzi,tunawakaribisha sana jimboni kwetu.natoa million 1 na laki 5 nitatoa kesho" jamaa alikuwa akiongea kwa hisia sana na kuonekana kukelwa na jambo hilo.

Asubiri 2015 ndiyo aonyeshe hisia zake...kwa sasa inajulikana kabisa kwamba Singida majimbo yote yana wabunge.
 
Politics bana.Bila shaka aliwakwaza baadhi ya participants pale kwenye harambee maake definition ya UZINZI ni pana na hakujua kuwa it's a broader concept beyond Mbunge huyo aliyekuwa akimnanga.
 
Dunia kweli ina mambo. Wakati changizo likiendelea ,alijitokeza jamaa mmoja aliye jitambulisha anatokea singida akasema " kwetu singida hakuna mbunge,tunaye kijana wa ccm ambaye ni mzinzi,tunawakaribisha sana jimboni kwetu.natoa million 1 na laki 5 nitatoa kesho" jamaa alikuwa akiongea kwa hisia sana na kuonekana kukelwa na jambo hilo.

That was bad anyway. Nadhani hata ukumbini humo kulikuwa na wazinzi, wastaarabu hatusemi hivyo. That was bad in law and fact!!!!
 
muchemba mwigulu ni wa singida?,....nakonect dot za mbunge mzinzi huko singida
 
Mbunge mzinzi wa singida ni Mwigulu Nchemba...huyu jamaa ilifaa apigwe mawe mpaka afe kwa kosa la kuchukua mke wa mtu...huyu alifaa awe mbunge wa viti maalum kutoka jamii ya wazinzi...
 
it wasnt gud anyway. It irritated me despite the fact that i hate Mwigulu Nchemba
 
Dunia kweli ina mambo. Wakati changizo likiendelea ,alijitokeza jamaa mmoja aliye jitambulisha anatokea singida akasema " kwetu singida hakuna mbunge,tunaye kijana wa ccm ambaye ni mzinzi,tunawakaribisha sana jimboni kwetu.

Natoa million 1 na laki 5 nitatoa kesho" jamaa alikuwa akiongea kwa hisia sana na kuonekana kukelwa na jambo hilo.

Watu kama hawa wasio na staha na kushindwa kutambua wako wapi na waseme nini na kwa wakati gani ndio wanaochafua hadhi ya chama na kuonekana ni cha "wahuni" "wahuni" hivi. Tujenge nidhamu badala ya kuchangia kubomoa nidhamu.(I stand to be corrected but not to compromise with such calibre)
 
That was too bad! Cuz CDM wenyewe most of their leaders wanafall kwenye hiyo category...tukianzia na S!
 
Hivi inakuaje kama Mrs Mwingilu nae ni member wa jf. Duh si atakua anakumbuka uchungu 2
 
Yupo humu ndani atakuja sasa hivi yupo kwenye thread nyingine ana~justify kuwa yeye kweli ni MZINIFU ila Dr.Slaa anazini kila siku... Yaaaani hili Jamaa ni SHABABI KWEEEEELI.
 
That was too bad! Cuz CDM wenyewe most of their leaders wanafall kwenye hiyo category...tukianzia na S!

Mkuu kwenye wekundu hapo nadhani umepitiwa kidogo. ndani ya siku 30 wakuu wawili wa CCM wamepatwa na visanga vya ugoni kwenye nyumba za wageni.
1.Adam malima alihonga document zote za wizara kwa changu dada.
2. jana tu Mkuu wa wilaya ya Liwale kafia room na askari wamekuta viatu vya mwanamama pamoja na pakti ya viagra.
 
Politics bana.Bila shaka aliwakwaza baadhi ya participants pale kwenye harambee maake definition ya UZINZI ni pana na hakujua kuwa it's a broader concept beyond Mbunge huyo aliyekuwa akimnanga.

The guy perfect there must be some one to speak it out regardless it was a double-edged sword na yeyote aliyesikia hiyo statement anapaswa kujichunguza na kuacha tabia hizo bila kujali yuko chama gani hivi vyama vitabaki duniani mbinguni wanaenda watakatifu tu walioikimbia zinaa
 
Yupo humu ndani atakuja sasa hivi yupo kwenye thread nyingine ana~justify kuwa yeye kweli ni MZINIFU ila Dr.Slaa anazini kila siku... Yaaaani hili Jamaa ni SHABABI KWEEEEELI.

I think this is pending court so observe judiciary independence
 
Dunia kweli ina mambo. Wakati changizo likiendelea ,alijitokeza jamaa mmoja aliye jitambulisha anatokea singida akasema " kwetu singida hakuna mbunge,tunaye kijana wa ccm ambaye ni mzinzi,tunawakaribisha sana jimboni kwetu.

Natoa million 1 na laki 5 nitatoa kesho" jamaa alikuwa akiongea kwa hisia sana na kuonekana kukelwa na jambo hilo.

Alikuwa anamrejea MWIGULU NCHEMBA, yule mwizi wa wake za watu!
 
That was bad anyway. Nadhani hata ukumbini humo kulikuwa na wazinzi, wastaarabu hatusemi hivyo. That was bad in law and fact!!!!

mnataka kuficha dhambi?? mzinzi hana jina jingine zaidi ya hilo msianze kuwapamba wazinzi au wezi kwa majina ya staha!! hata kama ukumbini kulikuwa na wazinzi watabakia kuwa wazinzi tu hakuna jina jingine la kuwaita, kama ukumbini walikuwepo wazinzi na wakajisikia vibaya hiyo ni hatua ya awali ya kujutia uzinzi wao hatua ya pili ni kutubu na mwisho kuazimia kuachana kabisa na uzinifu! Hata kwenye biblia takatifu wazinzi wametajwa kwa jina hilo na wameonywa regardless wanajisikia vibaya au vizuri hata amri ya sita ya mungu inasema usizini, halikutumia neno la staha zaidi ya hilo usianze kuhalalisha uzinzi kwa kulitafutia neno mbadala au kuogopa kulitaja!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom