Mh. Halima Mdee uso kwa uso na wanachuo na wananchi wa Kilimanjaro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Halima Mdee uso kwa uso na wanachuo na wananchi wa Kilimanjaro.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SOKETI, Mar 25, 2012.

 1. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Katika pita pita zangu mtaani usiku wa jana nilisikia gari la matangazo aina ya toyota hilux, likitangaza mdahalo/ mkutano utakaofanyika leo-25 katika chuo cha ualimu Mwenge.. ANGALIZO:- Mkutano huu haipendezi ukiwa na maslahi ya kisiasa bali itapendeza endapo utakua na lengo la kuleta mabadiliko na mapinduzi/ukombozi katika taifa hili. Mungu ibariki Tanzania
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko/Mapinduzi siyo siasa? Acha kushindwa kutofatisha vitu vyepesi kama hivyo wewe.
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kweli. siasa inapaswa kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wananchi.
   
 4. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Siasa inaaffect kila kitu hata ndoa yako either directly or indirectly. Funguka we. Usikimbie siasa.
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sera mbovu huleta mfumuko wa bei.
   
 6. P

  Pelege Senior Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Funguka wewe,siasa ni part and parcel ya maisha.
   
 7. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Maisha magumu yameletwa na siasa mbovu na chafu ya ccm.Mdee nyoosha na kemea pepo mbaya wa ccm!.Pipoz pawa ni nooumer!
   
Loading...