CCM ilikufa na JK Nyerere mwaka 1999,iliyobaki ni Chama Cha Mafisadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ilikufa na JK Nyerere mwaka 1999,iliyobaki ni Chama Cha Mafisadi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yplus, Mar 25, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiona Mtu anapiga kelele na kuisifia CCM kwa nguvu zake zote na kwa akili zake zote ujue anauhakika na kutumia sio chini 10,000 kwa siku.
  Na ukiona mtu anasimama kuipinga CCM kwa nguvu zake zote na kwa akili yake yote,ujue anaijua leo na hana uhakika na kesho kutokana na CCM ilipo tufikisha.
  Kipindi cha Nyerere Nchi ilikuwa na adabujapo kuwa watu hawakuwa na mamilioni kama sasa lakini umasikini wetu ulitufanya tuzidi kupendana,kushikamana.Rasilimali zetu kama madini Mwl alisema kama hatuna teknolojia ya kuyavuna leo hii,basi tuyaache maana hayaozi,watoto wetu watakuja kuyavuna.
  Kinachofanywa na CCM ni vituko vitupu,nawaambia tusipochukua hatua kabla ya mwaka 2020 kuipiga chani CCM kuna mambo mawili yatatokea
  1.Nguvu ya umma kuchukua nchi kama ilivyo fanyika Tunisia na itaanzia hapahapa JF
  2.Jeshi chini ya JWTZ kuchukua nchi
  Nawasilisha...
   
Loading...