Sintapiga kura, mpaka mgombea binafsi aruhusiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sintapiga kura, mpaka mgombea binafsi aruhusiwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mr who, Mar 25, 2012.

 1. m

  mr who Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kupiga kura ni kwa ajili ya kuchangua raisi au mbunge ili aweze kutekeleza majukumu yake kama kiongozi ni jambo nyeti sana,hivyo kuna wagombea wengi wenye sifa za kuwa viongozi lakini kwa kuwa anagombea kupitia chama fulani hawezi kupigiwa kura kwa sababu yupo chama pinzani,au tawala,hivyo wengi wapiga kura tumeweka vyama mbela bila kuangalia uwezo wa mgombea, mfano utakuta chama kimoja kimeweka mgombea mwenye sifa sahihi,na kingine kimeweka mgombea kutokana na umaarufu wake tu, hapo wanavyama wataangalia uchama na wala si uwezo wa mgombea hata kama yupo chama tofauti na kma akienda kuboronga huko inakuwa tabu kwa jamii zima, kutokana na hilo kwangu mimi sipigi kura mpaka mgombea binafsi aruhusiwe.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tuutumie vizuri mchakato wa kubadili katiba ili kuwe na kipengele cha mgombea binafsi
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hii imekaa vizuri sana nashangaa kwa nini serikali ya ccm inakwamisha hili suala.
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mtu wa ajabu sana wewe huwezi kufikiria BEYOND YOUR NOSE. Usipopiga kura itakusaidia nini?

  Kama mimi ningekuwa wewe, kama hilo takwa la mgombea binafsi halitakuwa limekubaliwa na serikali iliyoko madarakani, Basi Ningekipigia KURA cvama ambacho kingeni hakikishia kitaruhusu MGOMBEA BINAFSI kama kitashika dola.

  Uamuzi wako it is LIKE TO PUT THE CART BEFORE THE HORSE, ukitegemea mkokoteni uvute Farasi. Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!
   
 5. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi mwenyewe na support mgombea binafsi, ambaye anakuwa hana affiliation na chama, yeye ataangalia maslahi ya nchi tu. Tatizo lakini hata huko marekani wagombea binafsi huwa hawafanikiwi sana.
   
 6. y

  yplus Senior Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na akiruhusiwa usipige kura mpaka awe Baba ako...
   
 7. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Wasusie nyani shamba lako uone utakachovuna.
   
Loading...