Kwa mtu anayefikiria kwa makini na kufatilia historia za nchi tofauti duniani atakubaliana na mie kwamba, kuwa kijana tu mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuadaa wananchi sio kigezo cha kuwa ndiye...
Wanajamiiforums nimesikia kuwa serikali imepeleka mahindi ya msaada Arumeru Mashariki.Swali najiuliza kama kweli kuna haja kihivyo kupeleka msaada Arumeru Mashariki, kwa nini wakati huu wa...
wakuu!
Kumekuwa na kawaida ya jeshi la polisi kudai kitambulisho cha mpiga kura kama kigezo mhimu cha mtu kupata dhamana ya polisi. Hali hii imepelekea vijana wengi kuathirika kwa kupoteza...
Maneno haya niliyakuta kwenye moja ya majibu ya utetezi wa Ben Sanane humu JF kwenye thread moja ambayo ghafla nisivyotarajia thread ile ilifutwa na sikuona mabaki yake na sijui imepoteaje...
Tue, Mar 27th, 2012
Tanzania | Tue, March 27th 2012
Managing Editor of the Mwananchi Communications Limited (MCL), Mr Teophil Makunga
The group Managing Editor of the Mwananchi...
Napendekeza katika katiba mpya kiwekwe kifungu kitakacho wabana wabunge na kuwaengua, iwapo watakosa kuwatumikia wanajimbo waliomchagua. Nasema hivyi kutokana na tabia ya mbunge wangu wa rombo...
ONCE A WISE PERSON BY THE NAME OF JULIUS NYERERE SAID "THE PROBLEM IS NOT OTHER POLITICAL PARTIES OVERTAKING CCM,BUT THE PROBLEM IS FOR HOW LONG WILL CCM STICK TOGETHER".....Today,there is no...
Uandishi wa Kitabu cha Marehemu Regia Mtema (Biography)
Kamati Teule iliyochaguliwa kuanzisha Taasisi ya Regia Mtema Foundation imedhamiria kufuatilia kuandikwa kwa kitabu cha Marehemu Regia...
Ilikuwa jumamosi jioni,walipoingia kwenye kibasi wakiwa wamejitanda khanga mbili mithili ya watu waliotoka msibani walipo ulizwa walijibu kwa kifupi wametoka msibani kuizika CCM.wakiwa bado kwenye...
Leo wasaka nyoka tumekaa kwenye foleni kwa lisaa limoja ...hadi muda sio mrefu ..ndio wakuu wanapita hapa wote watatu wanatokea Msoga ....msafara wa magari kama 100 ..ukiwa na viongozi wote wakuu...
Ndugu zangu,
Kwa muda sasa nimekuwa niki-tune TBC1 kwa ajili ya taarifa ya habari na zaidi ile ya saa mbili usiku.
Jana nili-tune televisheni ya ITV.
Nilijikuta nikibaki kwenye kiti karibu kwa...
Baada ya kuona jahazi linaelekea kuzama hatimaye mh lowassa ameamua kuingilia kati,habari za kuaminika zinasema kwamba yupo kwenye mazungumzo mazito na wazee wa kimila wa arumeru(washili)nyumbani...
Kuna jamaa hapa ananihabrisha Kuwa katika Kata 17 za Arumeru kila Kata kuna polisi wanne na wanajeshi wanne wamepangishiwa nyumba watu mlioko Arumeru ni ya kweli hayo nakwanini iwe kipindi hiki...
Naona hapa mjini kuna hekaheka za usajili wa chama kipya,naona mida hii ndio wanapita hapa posta... ila naona bendela yao rangi hazitofautiani sana na ya chadema.... CDM jiandaeni
katika hali isiyokuwa ya kawaida,ule uvumi wa CCM kukodisha watu kuleta vurugu umetimia.Kundi hilo jioni ya leo maeneo ya Leganga limevamia msafara wa CDM na kumkata kijana mmoja na jambia...
Dr Limbu,ulipewa unaibu wizara ya maji ukashindwa kuwafikishia maji watu wa jimbo la Magu pamoja na jimbo kuwa kando kando ya ziwa vikitoria,hivi sasa umeanza kuwapiga usanii wananchi kwa ghiriba...
Ndugu wanajamvi
Nikiwa nimejipumzisha nyumbani kwangu naagalia DAKIKA 45 ya ITV akiwa anahojiwa naibu waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. ameongea mengi lakini alipoulizw kutoa...
Jana usiku nilifurahi sana. Nilikuwa natazama Mlimani TV mtangazaji alikuwa anapita maeneo mbalimbali kuzungumza na wananchi. Alifika mahali fulani akamhoji mjumbe wa CCM. Alinikuna sana kwa...
Wnajamvi wenzangu, kuna wakati huwa nakaa na kutafakari kwa kina juu ya viongozi wetu wa CCM na kujiuliza maswali mengi saana, je kuna kiongozi leo hii wa CCM anayeweza kuaminika kabisa either awe...