Vijana wa kuongoza na kulikomboa taifa letu bado hawajatokea waliopo walipalilia njia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa kuongoza na kulikomboa taifa letu bado hawajatokea waliopo walipalilia njia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raffiki, Mar 27, 2012.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtu anayefikiria kwa makini na kufatilia historia za nchi tofauti duniani atakubaliana na mie kwamba, kuwa kijana tu mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuadaa wananchi sio kigezo cha kuwa ndiye mkombozi wa taifa hili.

  Ulishaona wapi hata kwenye vitabu vya mungu mpigania ukombozi wa nchi akawa rafiki na tawala husika katika nchi hiyo?je vijana wapigania ukombozi huwa wanapigania vyeo au ukombozi?na vyeo uja vyenyewe baadae tena kwa kujipanga kwa kadri vijana hao walivyoongoza ukombozi wa kweli katika taifa lao!

  Kijana wa kitanzania na watanzania kwa ujumla TAFAKARI...!
   
Loading...