Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SHAHIDI WA 17 MATEMBELE ALLY MKWIZU.= POSTA MASTER WA SINGIDA Meneja wa Posta Singida. Posta ni nini? Ni shirika la Umma. Tuambie Chama cha mapinduzi wanatumia anwani gani? S. L. P. 99, Singida...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa tumekatishwa tamaa kuwa ni KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI kufanya mapinduzi ya kweli yenye lengo la kuweka hali sawa kwa faida ya taifa. Na imekuwa wazi kuwa NI NGUMU FIKRA ZA MWENYEKITI za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Idadi ya viti maalumu bungeni kama sikosei, CCM 65, Chadema 25, CUF 10. CDM wameongeza mbunge mmoja wakuchaguliwa kwa hiyo kura za ubunge pia zimeongezeka. Hapo mahesabu yanakuwaje, kama mbunge...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza nakiri kuwa habari hizi ni tetesi, na ndiyo maana nimezainisha vilivyo. Ni habari nizopata kutoka kwa mtu ninayefahamiana naye katika Tume ya Uchaguzi (NEC) katika ngazi za juu. Hivyo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndg zangu Kwanza Nitumie nafasi Hii Binafsi kuwapongeza Chadema kwa Ushindi Wa Arumeru Mashariki,Kiwira,Kirumba,Liziboni na Pia Cuf kwa Ushindi Wa Kata ya Tanga Nimeamua kufanya hivi kwa...
15 Reactions
65 Replies
6K Views
Wana CDM Tumeshinda Arumeru nimeandika kichwa cha habari hapo juu kwa maksudi maalumu ili tuweze kujua tatizo letu ni lipi. Hakuna kificho ukweli ni kwamba chadema ndio chama chenye wanachama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nape mufilisi kweli kapiga gwanda jeusi kama la Mbowe wakati anatoa pongezi. ITV news
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF na wana mageuzi wote mimi naona kama kuna shida kidogo ya kimawasiliano, kwa kuwa tangu jana ambapo makamanda wetu wamepelekwa mhimbili kwa kuumizwa na ccm hatuja pata updates isije ikawa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimesikia ITV wakanza kuuliza maswali elekezi mfano "hivi kweli matokeo yatatoka leo au tusubiri hadi kesho" Mzee Masako another failure maana mlianza asubuhi kwa kusema hatutatoka hapa mpaka...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Pongezi za CCM kwa ushindi wa Nassari ni unafiki wa kuficha uharamia ambao CCM wamewafanyia wabunge na wafuasi wa Chadema huko Mwanza. Kama pongezi hizo zingekuwa za dhati wangetoa pole na kujutia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Closed
WAKUU! DR W.P.SLAA. sherehe za ushindi wako tutafanyia wapi? make kwahali niliyoiona leo pale LEGANGA! wakati wa sherehe za ushindi wa JOSHUA NASSARI! watu walikuwa wengi sana pamoja na ile mvua...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Gazeti la raia mwema liliandika kuwa Arumeru ni mpambano kati ya mtandao wa fedha na Dr Slaa. Pia hapa jamvini kuna watu wanasema kuwa 2015 ni mapambano kati ya Lowasa na Dr Slaa. Je, haya ni ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Prof Mark Mwandosya, waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mbunge wa Rungwe Mashariki na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa CCM, amefunguka na kutoa waraka murua na wa ukweli kuhusu demokrasia. kitabu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi kwa mtazamo wangu nimekuwa nikimsikiliza sana Mkuu wa chuo cha St.Augustine Dr. Charles Kitima, naona huyu bwana ana vision nzuri kwa taifa hili la walalahoi, natumia jina la walalahoi kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jf tutathmini kauli ya baba mkwe wa sioi sumari kuwa yuko fiti kwa kupambana.je,ameweza arumeru?vp 2015 ataweza?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Na mimi katika kuwasapoti, naanzisha operesheni maalum ya kufungua ofisi za matawi ya CHADEMA katika kila kata wilayani MKURANGA....2015...........MALIMA.....(wa ccm)..OUT...!!! Pipoz...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kata hii ya daraja mbili katika manispaa ya Arusha haina diwani kwa muda wa miezi mitano sasa. Hii ni kutokana aliyekuwa diwani wa ccm kufariki dunia mwaka jana. Kwanini tume ya uchaguzi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
UBUNGE ARUMERU MASHARIKI
1 Reactions
1 Replies
5K Views
cancelled
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Nape kwa niaba ya ccm amejitokeza kumpongeza Nassar lakn hii inatafsir gan ukzngatia na maneno ya kashfa waliyotoa dhid ya Nassar,Nape anasema uchaguz ulikuwa huru na wa haki wakat wao wali2mia...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…