Mjadala wa Leo utaangazia namna vyombo vya habari vilivyoandika taarifa za UCHAGUZI mdogo wa Arumeru na nafasi ya vipashio habari mbadala JF pamoja na blog nyingine Kama mjengwa, fullshangwe na...
Wakuu ninaelekea Moshi hapa usa river nimekutana na basi la polisi likitokea Moshi kwenda Arusha limesheheni polisi wengi waliovalia kiraia. Huu ni uoga wa Ccm kuhusu mkutano wa leo wa Cdm
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi...
Wanajamvi nimeona kupitia jamvi hili niwasaidie wana CCM walau kutambua chanzo cha anguko lao. Hii ni baada ya utafiti ambao ninaendelea kufanya lakini nimeona ni vema niwalete sehemu hii ya...
Hayawi hayawi na leo bado kidogo yanakuwa, baada ya William Malecela @ New York City kupita vihunzi vya awali katika kugombea ubunge wa Afrika mashariki, na hivyo amebakisha kihunzi cha mwisho...
Baada ya mahakama kuu kutoa hukumu na kuamuru uchaguzi kurudiwa ndani ya siku 90 swali linakuja je magamba watamsimamisha nani kuweza kukabiliana na CHADEMA..???
wakuu heb tupieni hayo majina...
Mswada wa sheria ya utalii jana umepita kwa tabu baada ya wajumbe kutofautiana juu ya mswada huo kuhusu suala la upendelezo la ajira kwa wazanzibari.
Wakati wajumbe wasiokuwa mawaziri...
Kwa utaratibu huu wa sasa wa rais kuteua majaji kwa kadri inavyompendeza tutaboomoa mfumo wa sheria nchini. Wakati umefika majaji wasiteuliwe nje ya mfumo wa kimahakama! Kwangu uwakili na uhakimu...
Imeandikwa na Maregesi Paul | Dar es Salaam
Thursday, April 05, 2012
UCHAGUZI wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa upande wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeingia doa. Chanzo chetu cha...
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..
Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema...
Hi JF Members.
Mkulu ndo huyo keshaunda Tume ya Katiba. Fikra zetu wakati huu zisiwe tena kuijadili tume bali kujiandaa kuipa majukumu. Ndiyo maana nafungua peji hapa chini.
Ili tuendelee...
Vyombo vya habari hasa vinavyoendeshwa kwa kodi zetu, yaani TBC 1, DAILY NEWS, HABARI LEO NA TBC FM, havitundei haki. Vyombo hivi ni ukweli usiopingika kuwa vinafanya kazi kwa maelekezo na maslahi...
WanaJF,
Swali hilo limenisumbua kwa takribani wiki sasa. Nimependa tuwaze pamoja: Nani walipiga kura Arumeru Mashariki? Je ni wavivu wa kufikiri?
Swali hili lina mahusiano makubwa na kauli...
State has removed my security detail, says ex-Chief Justice
In a revelation which left many people surprised the immediate former Chief Justice, Mr Augustino Ramadhani, said yesterday that...
Fare well thee Bingu wa Mutharika
Bingu,
Bingu wa Mutharika
I know you were a mortal being
Weak as you were
Now it's time for others and me
Time to forgive whatever you erred
Time for looking...
Wakuu naona ni kama sasa hivi tunaelekea upande wa kuchezea demokrasia hapa Tanzania. Mambo yanayoendelea yafanya nchi yetu ionekana kama kundi la Pwagu na Pwaguzi. Hivi ni kweli tunaendesha nchi...
Leo siku nzima nimefanya kazi ya kutafuta maoni kwa watawala wetu na baadhi ya majaji wazoefu, walio kazini na wastaafu. Maoni ya wengi katika niliongea nao ni kama hivi ifuatavyo:
-Mchezo mchafu...
Wanajamvi kauli ya ni keri kuchagua jiwe kuliko kuichagua CCM imekuwa mwiba maana imesambaa kwa kasi sana na kuwa kampeni tosha kwa CDM!!!!!
Mlio Arusha ni mashahidi wa hilo, kila unayemuuliza...