Unajua CCM kuna siku mtaaibika na hamtasahau,mnakumbatia sana wezi kumbe mnawajua kabisa wanaofuja na kutumia madaraka vibaya,inahitaji kitu gani kuwaweka hadharani na wakawajibika ? Jipangeni...
Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa.
Bunge limebakiwa na wabunge wasizidi hamsini, wabunge wote wa CCM wako chemba wanajadili namna ya kuiokoa CCM
Wana jf
Baada ya kuangalia sana bunge jinsi wabunge walivyokuwa wakisema mbovu juu ya ubadhirifu wa serikali na upole wa rais wetu A.K.A Baba rz.katika kuchambua riport za hesabu za serikali...
Jamani wanaJF, sio tabia yangu kuwashangaa watu kama ninavyomshangaa Nape, ni kijana mdogo na anaakili ila kazi anayofanya inanishangaza sana. Embu mwangalie Nape hata kwenye TV, hivi kuna mwanaJF...
Tangu jana nasikiliza bunge nikitarajia CHADEMA watafikia hatua ya kutoa tamko la kupeleka hoja binafsi inayomtaka Kikwete ajiuzulu, badala yake naona wanaendeleza tu siasa, na kutoa kauli ambazo...
Mtazamo wangu tuu, Kijana anafanya kazi ya maana jimboni kwake na umma yote inaona angalau anawagaia wananchi wa jimbolake posho yake. Wabunge wengi wanaleweyaa tuuu posho... tungekuwa na wabunge...
Swala la wizi wa fedha. Kama ni kuchonga wabunge mnachonga kweli. Kama ni bongo muvi mnaweza mkawa zaidi ya JB jinsi mnavyoact ukali na sauti za masitikiko.
Hakuna lolote mnalofanya mnachonga...
Ndg zangu, naskitika ninavyoona nchi yangu niloipenda inaenda kufilisika mchana kweupe chini ya kiongozi shupavu wa safari Ndg Kikwete. Tanzania hii hii leo nasikia imekpoa kila pahali kwenye...
SUALA LA OLE MILLYA
UAMUZI wa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, James ole Millya, kuondoka CCM na kujiunga na CHADEMA ndilo gumzo la wiki hii.
Uamzi huo wa Mwenyekiti huyo wa zamani wa UVCCM...
Sao Paulo - PRESIDENT Jakaya Kikwete on Monday paid a scintillating tribute to the former national soccer team head coach, Brazilian Marcio Maximo for his service as the national team coach.
The...
mwan jf leo nilifuatilia bunge kwa umakini sana na kuyapata haya;
wabunge wote walikuwa na umoja sana hilikuwa ni ngumu kumtambua yupi mccm wala yupi mpinzani lakin kuna kitu mimi kimenikuna nacho...
Mhe. Rais JK nina maswali machache naomba uyapatie majibu:
Je ripoti ya CAG umewahi kupewa na kuisoma au kusikia hoja zake?
Je mijadala ya wabunge wakiwa bungeni huwa unasikiliza au kupewa...
Hivi kweli bajeti ya nchi inaandaliwa marekana wakati wabunge wamesema tunamhitaji waziri wa fedha basi kiuherehere mnadhimu wa ikulu kajipendekeza kuropoka utmbo wake! Jinga kweli.. Wizara ya...
Nimeambiwa na wafanyakazi wa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kuwa hivi sasa ofisi hiyo inaongozwa na kuendeshwa na hawala wa bwana John Tendwa niliyepata jina moja anaitwa Zakia. Inasemekana...
Kama kuna mtu ana namba ya simu ya mkuu wetu huko aliko ampigie simu arudi maana hali inayoendelea bungeni yamtaka mzee awepo. Mawaziri wake baadhi wameambia ni wezi sasa kama ni kweli kuna...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mabunge yetu. Moja kati ya mambo ambayo yananishangaza sana ni kauli za spika mama Anna Makinda kipindi anapoongoza bunge au mawaziri kipindi wanapojibu maswali...
katika kikao kilichofanyika asubuhi ya leo na kuhusisha wabunge wa chadema mjini Dodoma kuna habari ambayo itazidi kuishutua CCM na pengine huu ukawa ndiyo mwisho wa CCM Arusha.
Tega sikio hapa...
Kwa hari ya leo bungeni nina uhakika mawaziri na serikali kwa ujumla leo wanalala viroho juu. Maana hata wana CCM wenzao ndo walikuwa wanawategemea kuwatetea ndo wamewakandamiza vilivyo.
Ni...