Nape Mnauye ana Roho ya Paka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Mnauye ana Roho ya Paka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpitagwa, Apr 19, 2012.

 1. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,298
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Jamani wanaJF, sio tabia yangu kuwashangaa watu kama ninavyomshangaa Nape, ni kijana mdogo na anaakili ila kazi anayofanya inanishangaza sana. Embu mwangalie Nape hata kwenye TV, hivi kuna mwanaJF anaweza akafanya kazi ngumu kama ile ya kutetea CCM? Hivi kuna mwanaJF humu hata akiahidiwa mshahara wa bilioni anaweza akawakonvice waJF kuwa CCM ni chama safi kama anavyotaka kutuamisha Nape mpaka leo hii? Sijui Mungu atamshukia lini huyu kijana ahamie Chadema.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ukiwa ndani ya ccm uwezo wa kufikiri unakuwa below zero
   
 3. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nape ananikumbusha yule aliyekuwa waziri wa habari wa Sadam.
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280


  binafsi sioni kosa lake kwani ndiyo kazi yake ndani ya ccm. lazima aseme anayoamin kuwa mazuri ya ccm. swala la ubaya wake unaouona kwake haumuhusu kabisa. Pia yeye kuhamia cdm sidhani kama ni sahihi hata kidogo. labda nikuulize kwani cdm tunataka watu wasio safi? mwache apalilie uozo ili cdm wapate point za kusimamia.
   
Loading...