Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa yapata msajili mpya mwanamke

JohnWerema

New Member
Jun 16, 2011
1
0
Nimeambiwa na wafanyakazi wa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kuwa hivi sasa ofisi hiyo inaongozwa na kuendeshwa na hawala wa bwana John Tendwa niliyepata jina moja anaitwa Zakia. Inasemekana bwana tendwa yupo kisheria tu lakini kila mipango na maamuzi yanafanywa na hawala yake huyu. Sasa huyu bwana kama amechoka kazi na kugawa madaraka yake kwa hawala zake naona serikali mpuumzishe tu, kuliko kuja kutubomolea demokrasia yetu ya vyama vingi iliyojengwa kwa gharama kubwa, kwa tabia na tamaa zake za kufikiria kwa kutumia fimbo yake na kutawaliwa na sketi.
 
Mode, naomba fungua jukwaa maalum la "JF Udaku" ili wenye taarifa za aina hii, wasiposti humo ili iwe rahisi kwa wafuatiliaji wa maisha ya watu, kama ilivyo kwenye magazeti ya udaku na magazeti serious.
 
Naunga mkono hoja.

Hii ni aibu na fedheha kubwa kwa Great thinker kuzungumza udaku hadharani bila aibu wala soni.

Mods fanyeni kazi yenu haraka kuepusha aibu hii. ONDOA
 
Nimeambiwa na wafanyakazi wa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kuwa hivi sasa ofisi hiyo inaongozwa na kuendeshwa na hawala wa bwana John Tendwa niliyepata jina moja anaitwa Zakia. Inasemekana bwana tendwa yupo kisheria tu lakini kila mipango na maamuzi yanafanywa na hawala yake huyu. Sasa huyu bwana kama amechoka kazi na kugawa madaraka yake kwa hawala zake naona serikali mpuumzishe tu, kuliko kuja kutubomolea demokrasia yetu ya vyama vingi iliyojengwa kwa gharama kubwa, kwa tabia na tamaa zake za kufikiria kwa kutumia fimbo yake na kutawaliwa na sketi.
Naomba habari kama hizi zisiruhsiwe hapa JF kwani zinaonekana ni za kitoto sana na zinatuivunjia heshima.
 
Huu umbea peleka jokes/udaku, hata kama ulikuwa na taarifa nzuri ushaharibu kwa kutoleta hoja yenye mashiko.
 
Utawala wa mabasha huu mwendo mdundo hapa ni nguvu ya umma ndiyo itakayoondoa uozo kama huu. Hivi tendwa anafikiri hiyo ofisi ni ya kilabu cha pombe kiasi anamuachia hawara kama ndivo hivo inasikitisha nchi mefika pabaya sana.
nimeambiwa na wafanyakazi wa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kuwa hivi sasa ofisi hiyo inaongozwa na kuendeshwa na hawala wa bwana john tendwa niliyepata jina moja anaitwa zakia. Inasemekana bwana tendwa yupo kisheria tu lakini kila mipango na maamuzi yanafanywa na hawala yake huyu. Sasa huyu bwana kama amechoka kazi na kugawa madaraka yake kwa hawala zake naona serikali mpuumzishe tu, kuliko kuja kutubomolea demokrasia yetu ya vyama vingi iliyojengwa kwa gharama kubwa, kwa tabia na tamaa zake za kufikiria kwa kutumia fimbo yake na kutawaliwa na sketi.
 
user-offline.png
JohnWerema

Today 09:33
#1
Junior Member Array

Join Date : 16th June 2011

Posts : 1

Rep Power : 0
Likes Received
0

Likes Given
0
 
Zakia mwanamke wa shoka kaitikisa hadi ofisi ya msajili?

hapana tunahitaji uthibitisho zaidi siku hizi ukimchukia mtu ni rahisi kumchafua kupitia mitandao ya kijamii
 
user-offline.png
JohnWerema

Today 09:33
#1
Junior Member Array

Join Date : 16th June 2011

Posts : 1

Rep Power : 0
Likes Received
0

Likes Given
0

Ukiona hivyo, post moja tu basi ujue huyu ni mtumishi ofisi ya msajili yamemfika kaamua kukimbilia JF. Watu kama haya ni muhimu lakini si wa kuaminika sana.

Ukute mwanakaka walikuwa wanagombania demu na tendwa au Tendwa kamnyang'anya demu (John Werema).

au mwanadada (John Werema) amepinduliwa na zakia kakasilika kaja hapa kutema cheche.

Mapenzi ofisi ni uduwanzi!!!!!!! haifai hata kidogo
 
Natamani bi zakia aamke siku moja amwambie TENDWA akifute Chama Cha Mapinduzi otherwise hampi mfododo.
 
Back
Top Bottom