Live from Brazil: Kikwete Salutes Maximo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live from Brazil: Kikwete Salutes Maximo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tume ya Katiba, Apr 19, 2012.

 1. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kikwete-salutes-Maximo.jpg

  Sao Paulo - PRESIDENT Jakaya Kikwete on Monday paid a scintillating tribute to the former national soccer team head coach, Brazilian Marcio Maximo for his service as the national team coach.

  The President who is in an official tour of Brazil met Maximo, who paid him a visit at the Tivoli Hotel here and the two had a brief chat. President Kikwete said it was during Maximo's era that the country raised its bar in world soccer circles, saying such status would only be maintained if the country's clubs invest in youth.

  During the meeting, Maximo challenged the football clubs in Tanzania to set up youth teams starting with under the age of eight years, if the country is to have in place the best national teams. Maximo said most of the best performing national teams in the world are those which have invested heavily in youth development programmes.

  The tactician also presented to the head of state a jersey of - Democrata--the club he is currently coaching. The outspoken Brazilian also thanked President Kikwete for his support during his four year term as the Taifa Stars coach. It is widely remembered that during his time as Stars' coach Maximo enjoyed a relaxed atmosphere with the state.
  He was often defended by the President when critics pointed fingers at him for the national team's failure to meet fans' expectations. President Kikwete once said the Brazilian tactician has worked above the call of duty to transform the team since he took charge.

  He reminded the critics that when the Brazilian took charge of the national team the country was trailing 167 on FIFA ranking, but succeeded to take the country up to 97th position. Stars which is currently under the Dane coach Jan Poulsen has slumped down to 145th on FIFA rankings. In another development, Maximo has denied rumours that he was considering retaking Taifa Stars charges.

  He said neither does he consider taking up Azam FC nor Young Africans jobs. "Apparently I've never been contacted by the TFF, Azam or Yanga to take over any of the mentioned jobs... I've a valid contract with my current club, which I duly respect and to say the least I'm happy here," said Maximo.

  He added; "Taifa Stars has the best coach and I envy him and I also support his training skills, and I believe he will help promote the Tanzania soccer." Maximo, however, admitted that he still has contacts with many sports fans in Tanzania, adding that the East African nation is his second country and he will always be a good ambassador of Tanzania

  http://allafrica.com/stories/201204181181.html
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  hicho ndicho alichofuata Brazil??
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Anataka a make sure mpaka akitoka Ikuru awe amemaliza kutembea dunia nzima....Akirudi anafikia Ikulu kwenye kiyoyozi na mshahara wake unaingia kama kawaida.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Kwa jina la mwenyenzi mungu tuna hasara na huyu gamba rais!
   
 5. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Du!! Kaazi kweli kweli
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Afu huu uzi hauna mvuto,jk kanchosha na arusha 2memchukia.NDO MAANA I HATE U BWA KA.TI.B.A TUU.MIE.,lete uzi wenye kuatract,nyie magamba huwa hamna jipya
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Amesahau kumwambia Maximo: licha ya kuporomoka katika soka duniani, vilevile mfumuko wa bei umekamata kasi na bado tupo wa mwisho kiuchumi duniani. Labda Maximo angempa ushauri pia.
   
 8. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baba Ridhiwani bwana....ukute hap bembea zilikuwa mbali, angeonekana ananig'inia....rais wa magamba anakosaje kuwa gamba....shittttttt.......na wewe tume ya katiba mambo gani unaleta haya....kama umemiss si umsubiri kwenye misiba, kwani huwa anakosa huyu?????
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  JK alitakiwa ajieleze japo kidogo tu kuwa wizara ya michezo ina sera ya kuendeleza vipaji kuanzia mashuleni baadae tutahamia kwenye vilabu na kuanzoisha shule nyingi za soka!!!!tatizo fund kufanya program endelevu na kwa kuwa hatuna vipaumbele kabisa kwenye nchi yetu tunaendesha nchi kwa matukio!period
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  akirudi anaenda kwanza Malawi kisha ndo arejee ikulu kutafakari where next....
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,749
  Trophy Points: 280
  Yaani hii kazi angetakiwa aifanye Michale Wambura wa TFF, njo vile tunahoji ufujaji wa nchi yet
   
 12. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145

  Inawezekana hiki nacho ni kipaumbele!
   
 13. papason

  papason JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaaa ni mnafiki, si alibariki kufukuzwa kwake
   
 14. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Sasa ameanza latin America kwan US na ulaya hawezi kwenda kwa sasa kwani wameshamchoka na ombaomba yake..Then akimaliza uko ataingia ASIA,IRAN nk nako atatembeza bakuli then atakua amemaliza DUNIA na huo ndo utakua mwisho wa ccm
   
 15. H

  Hemed Maronda Senior Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na nyie nanyi mmezidi kila siku lawama kwa Kiwete oooohoooo! Mara kaenda huku mara kaenda huku hivi hata kama wewe haufanyi kazi hayo maendeleo unayoyataka utayatoa wapi? Kikwetu analaumiwa mno mbona Mkapa nae alikuwa anasafiri sana na hakulalamikiwa mno? Tena yeye mda wote ilikuwa safari kwa kina Tony Blair na George Bush ila watu walikuwa wanaona sawa tu! Akisafiri ****** shida acheni hizo HINDA zenu lawama bila ushauri ni kelele tu! Kuzalisha chakula hamzalishi kutwa mko JamiiForum nanyi mnataka maendeleo mtayapata wapi?
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Majuto mjukuu...kuna siku tutajutia tunavyotumia muda wetu
   
 17. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  mimi jakaya mrisho kikwete naapa kwamba nitaitunza na kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano na kwa vyovyote vile sitaweza kutoa siri za baraza la mawaziri. Ewe mwenyezi mungu nisaidie.
  Sasa yeye ameamua kuitunza katiba kwa kujifanya Mr. Tour aka Mzamiaji. Nafikiri bado Vietnam hajafika
   
 18. a

  ammui Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua hy jamaa kaenda na m2 ngapi hk brazil? M2 21,yeye na waziri wake,na vidosho vyao,wanaka hotel tofauti na hz m2 zingine,wanakaa 5*htl prezdensho suit ya dola 820 per day,na hao wengine ni usd 500 per day
   
 19. B

  Binsaid6 New Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni fitna na majungu kwani yeye ameenda kutembea kule au amekwenda kikazi lazma mtofautishe ziara ya kikazi na binafsi. Msikalie majungu tu kumsema vibaya Rais wa nchi huko ni kukosa heshma tena inawezekana hata wazazi wenu hamna heshma nao kama mnafikia kusema maneno hayo sidhani kama mnawaheshimu wazazi wenu tena inawezekana wengi wenu mkawa watoto wa nje ya ndoa. Safari yake ni mualiko wa nchi zinazounga mkono Open government duniani sasa yeye kwenda kama mualikwa kuna kasoro gani? au tuelezeni basi kama mna ajenda za siri mbona amealikwa vatican na papa hamkutoa kasoro zozote ? Pia kuhusu huyo maximo yeye mwenyewe ndio amemtembelea rais hotel kumpa salam mlitaka afukuze asionge nae hebu jaribu kidogo kutumia muda wenu vzuri jamani.
   
 20. m

  msambaru JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Amemfuata maximo wakagawane salio alilompa kishkaji
   
Loading...