Wabunge mjiulize MNAFANYA NINI KUOKOA TAIFA NA SIO MNAONGEA NINI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge mjiulize MNAFANYA NINI KUOKOA TAIFA NA SIO MNAONGEA NINI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, Apr 19, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Swala la wizi wa fedha. Kama ni kuchonga wabunge mnachonga kweli. Kama ni bongo muvi mnaweza mkawa zaidi ya JB jinsi mnavyoact ukali na sauti za masitikiko.

  Hakuna lolote mnalofanya mnachonga tu hakuna hatua. Mnachonga da hili ni bunge la wapigakelele. Hakuna vitendo na mawaziri walishazoea. Si wa CCM tu ata Wapinzani mnachonga tu. Mnapiga kelele tena kelele za chura.
  Mnawafukuza ndege shambani kwa miluzi na bado wanaendelea kula. Vip manati si mnazo mko siliasi kweli. Ni sawa na Police kupiga kelele mwiiizii! Na kashika bunduki na mwizi anaendelea kuiba Sa wananchi wafanyaje?


  Nilisikitishwa sana na MBOWE alipozima hoja ya NGELEJA kujiuzuru kwenye inshu ya Jairo.
  Mpaka leo Inaniuma hasa nikiangalia muvi ya cdm mwanza ambapo mbowe alikuwa akishinikiza ngeleja kujiuzuru.

  WABUNGE NATAKA MTUAMBIE MNAFANYA NINI NA SI MNAONGEA NINI?
   
 2. m

  mayengo Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka umetumwa sio bure mbowe ana uwezo wa kumlazimisha ngeleja ajiuzuru kama kura zinapigwa kwa kusema ndioo ata
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hiki ndicho kitu kinachomiss. Tundu Lissu leo amewaambia kuwa Katiba inawapa mamlaka kuiwajibisha serikali isipofanya vizuri. Amewaambia kwa kuwa CCM wako wengi Bungeni, ndio wanapaswa kuongoza hilo... tusubiri hao CCM wakitoka kwenye kikao chao tuone watafnya nini leo jioni
   
 4. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu thread yako ni ndefu lakini imejaa mifano tu mara bongo movie,mara kelele za chura,mara ndege shambani n.k,me nafikiri mfano mmoja ungejitosheleza,ila kwa sakata la Jairo sina kumbukumbu kama Mbowe ndie aliyezima hoja ya Ngereja kujiuzuru!hata hivyo,kwa mtazamo mfupi tu wewe unaona Mbowe angeweza kumuwajibisha Ngereja wakati wabunge walio wengi wa c.c.m akiwemo spika walikua wameshapata ujumbe toka juu kua wafunge midomo kuhusu ilo?think twice mkuu
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wametoka kupigwa mkwara,utaona wakirudi kama wataongea tena against serikali,dawa ni kupambana nao tu kwenye maboksi ya kura 2015
   
 6. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huna hoja ya msingi ya watu kujadili, naona unapiga porojo tu, anyway tumwachie rejao, ritz na mama porojo wajadili
   
Loading...