Mkulo ameenda marekani kuandaa ya bajeti ya nchi............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkulo ameenda marekani kuandaa ya bajeti ya nchi...............

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KWELI TUPU, Apr 19, 2012.

 1. K

  KWELI TUPU Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli bajeti ya nchi inaandaliwa marekana wakati wabunge wamesema tunamhitaji waziri wa fedha basi kiuherehere mnadhimu wa ikulu kajipendekeza kuropoka utmbo wake! Jinga kweli.. Wizara ya fedha inaongoza kwa ufujaji wa pesa lakini waziri na manaibu wake uwamekimbilia muarekani............uuuuuu
   
Loading...