Maswali kwa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali kwa JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ileje, Apr 19, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Mhe. Rais JK nina maswali machache naomba uyapatie majibu:
  1. Je ripoti ya CAG umewahi kupewa na kuisoma au kusikia hoja zake?
  2. Je mijadala ya wabunge wakiwa bungeni huwa unasikiliza au kupewa taarifa ya mijadala hiyo?
  3. Je kashfa zinazotolewa dhidi ya serikali yako hususan mawaziri unazifuatilia au unazipuuzia?
  4. Je kutokana na hali mbaya ya kiuchumi Taifa inalokabiliana nalo, una mikakati ya kutunasua au umekata tamaa?
  Mhe. Rais huenda ukijibu maswali haya utapunguza hasira walizonazo wabunge na wananchi kwa jumla.

  Salam aleykuum!
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye kusoma report sidhani kama kuna huo muda kwani Vasco Da Gama wa zamani alisoma kwanza kabla hajaanza exploration yake laki huyu wa sasa kaanza kwa kasi sana hadi anamfuata Maximo wewe unafikiria huo muda wa kusoma report ya kurasa nyingi kwa makini anao.
   
 3. m

  msambaru JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Jamani rahisi wangu, ukoje? hv huyu jamaa hua anashauriwa na nani?
   
 4. i

  iseesa JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hajui kama kuna ushauri
   
 5. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  JK ana washauri wengi na idara ya mawasiliano, kwa nini hawamsaidii?!
   
 6. n

  ng'wandu JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 333
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiyo mijadala ataifuatilia wakati gani wakati kila siku yuko safari au anapanga safari ifuatayo, leo Brazil, kesho ...
   
 7. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  kwani wao hawapendi kula bata? Hakuna nchi kama hii bana.
   
 8. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Malawi kumzika Bingu Wamtharika!
   
 9. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK hashauriki hususan kwa suala la maendeleo ya nchi.
   
 10. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anafahamu kila kitu na ndiye mhusika mkuu kwa yaliyoandikwa katika hiyo ripoti
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Jk sina hakika kama alishawahi kusoma ripoti yoyote, unless kama ipo kwenye CD au DVD aiangalie kama movie wakati anasafiri kwenye ndege.
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Samahani Bwana, unajua as of recent, nimededicate muda mrefu zaidi kuchangia thread moja iko kwenye jukwaa la JAMII INTELLIGENCE titled MIZIMU, kwa hiyo niko very sensitive na issues za mizimu.

  Swali la Msingi
  Haya Maswali unamuuliza Julius Kambarage au Jakaya kikwete, naomba Jibu kabla sijachangia?
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Halafu juu ya hilo swali kama ni JK wa sasa kweli unamuona yuko kusoma mareport ya page 100 kweli
  Atasafiri muda gani sasa akikaa kusoma report zote hizo
   
 14. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160

  *Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na utulivu?* - Mwalimu J. K. Nyerere.

   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
 16. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hao ni watu wa kufanya kazi kulingana na kasi ya mkuu wao,akiwa active watachakarika,akiwa kilaza wanalala nae
   
Loading...