Napendekeza serikali ivunjwe

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Kwa hari ya leo bungeni nina uhakika mawaziri na serikali kwa ujumla leo wanalala viroho juu. Maana hata wana CCM wenzao ndo walikuwa wanawategemea kuwatetea ndo wamewakandamiza vilivyo.

Ni ukweli Wadanganyika tumeuzwa ni aibu kwa serikali na chama tawala inatosha sasa


Wametuibia vya kutosha kula wale wao kulipa tulipe sisi.
Wanasafiri na kuingia mikataba mibovu zaidi ya Karl Peters.
Uchumi unakuwa kwa 7% wakati deni linakuwa kwa 39%

Wameuza ardhi yote nzuri na kuwapa mikopo mikubwa na wanauwa mabenki yetu thn wanatwambia wamekimbia hivi kweli.
 
Mawaziri na serikali yao wanashindana kusafiri ili wale vzr
 
I wish it to happen very soon....mbona itakuwa shangwe....mweeeeeeeeeeeee....!!!
 
Mimi nadhani JK anatakiwa aachane na uCCM aiweke nchi mbele. Amchague Zitto Kabwe awe waziri Mkuu
 
Jk kaenda kufanya nn Brazil

KUNA HAWA WADUDU WA MSIMU KULE...........NA MSIMU NDIO HUU

Brazilian_Dancers_Porto_da_Pedra_2009_Technical_1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom