JK Kuongea na wazee wa mkoa wa DSM?

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Wana jf

Baada ya kuangalia sana bunge jinsi wabunge walivyokuwa wakisema mbovu juu ya ubadhirifu wa serikali na upole wa rais wetu A.K.A Baba rz.katika kuchambua riport za hesabu za serikali toka kwa Mrema.Zitto na Cheyo. Hii inaonyesha wazi kuwa serikali yote mbovu na inastahili mabadiliko ya kweli.Wabunge wa ccm wameanza kuanzisha hoja ya kuitana na kuisema serikali ya jk pembeni.

SWALI.KAMA KAWAIDA LIKITOKEA JAMBO LINALOISHIKA VIBAYA SERIKALI BABA RIZ HUONGEA NA WAZEE WA JIJI.

JE? HAPA NAPO IMEKAAJE?

ATAONGEA NA WAZEE WA JIJI??

TUSEMEZANE KWA HOJA
 
Safari hii aje aongee na wazee wa bondeni arusha coz hawajapata wali biriani na pilipili mda mrefu,ama azungumza na wale wa kijiji alipozaliwa_MZOGA
 
Wazee wa mbeya na Arusha ndio wanafaa. Hii ni zamu yao. Unajua unapoongea na wazee unatakiwa upime upepo. Kama wazee wenyewe ndio njaa kali, unapata GIGO.
 
Jukwaa la Katiba waliitwa wahuni na wabunge kwa hoja kwamba nani amewachagua. Je hawa wazee wa daresalama, nani amewachagua kuwakilisha wazee wote wa mkoa?

Na huyu Baba Mwanaasha naye anatia aibu, wakuu wenzake wa nchi tatizo likitokea wanateta na wasomi, yeye anaongea na wacheza bao wa Mwembe Yanga. Yaani sijui mazungumzo yao huwa yanalenga kupata solution ya tatizo au ni ile hamu ya kujifariji kuwa kuna watu still wana utashi wa kumpigia makofi hata kama hawaelewi kaongea nini
 
Ikatokea CCM ikatikisika zaidi kidogo ... kama wakatokea Vigogo au watu marufu ku cross kwenda CDM ... Itazidi kuashiria UDHAIFU wa wazi wa CCM na kumfanya hata mnyoge kiasi gani kuanza kusema ukweli juu ya CCM na Serakali yake. Hata wabunge wa CCM watakuwa na nguvu ya wazi kuisema serekali yaokwani hadi hapo kila kitu kitakuwa kinawezekana ..kwani si udhaifu wa Chama uko hadharani? Wana CCM Watapa nguvu ya wazi kabisa ... ya kukisema chama tofauti na awali.

Kama kawaida Viogozi wa juu na mawaziri wataleta kiburi ...wakijua kuwa hayo ni maneno matupu wakitumaini kuwa yatapita!! Hawatachukua hatua stahili!! Hilo litakuwa kosa la mwaka kwani Nyakati kwa sasa haziko upande wa CCM ..


Na CCM wasifanyie mzaha jambo hili ... Wanaweza kupoteza wanachama kama utani hivi ...na kila jambo hilo likitokea... Kuna kuwa na POWER SHIFT ndani ya Chama. Wanachama na wabunge wa CCM wanakuwa na nguvu na Uongozi wa Juu wa CCM unatikisika!!
 
This time akaongee na wazee wa Mombasa,Kenya!Wale wazee kwenye mikutano huja na misuli tu bila kiota cha ndani
 
Tunataka atuambie Deni la nje limeongezeka vipi?
Kisha atueleze

Ubadhirifu kwenye magari ya serikali (ununuzi, repairs, mafuta) unaccounted money ni 5 trillion, atueleze zimekwenda wapi!

Tanesco, 600 Billion,
Maliasili 88 billion
Kiwanja kilichouzwa kwa ujanja wa upotevu wa 1.3 trillion,
Mishahara hewa 1.8 billion
Chief Accounting officer 49 billion,

Atuambie zimekwenda wapi!!
Akishindwa basi kichwa chake ni halali yetu!!

Upuuzi tu nchi hii!! tumechoka kuchekewa chekewa kama tunatoa posa hapa!!!
 
Back
Top Bottom