Kishindo cha CHADEMA kuzidi kuiangamiza CCM

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
katika kikao kilichofanyika asubuhi ya leo na kuhusisha wabunge wa chadema mjini Dodoma kuna habari ambayo itazidi kuishutua CCM na pengine huu ukawa ndiyo mwisho wa CCM Arusha.

Tega sikio hapa hapa JF
Breking News:
Diwani wa CCM kata ya SOMBETINI-Arusha Mjini, ALFONCE MAWAZO ameng'atuka kutoka CCM na kujiunga na CHADEMA. wakati huo huo katibu mwenezi CCM wilaya ya LONGIDO ARUSHA Mr YOHANA LAIZER naye amejiunga na CHADEMA
==============
Aliekuwa Diwani kupitia CCM Alphonce Mawazo amehamia rasmi chama cha Demokrasia na Maendeo na kumaliza tetesi za siku nyingi kuwa ange hamia chadema. kwa mara ya kwanza zilianza kuibuka kwenye uchaguzi wa meya wa mjini Arusha baada ya haki kupindishwa hali hiyo mawazo hakupendezwa nayo, hivyo kuanza harakati za kuhamia chadema wakati wakati mawazo akiahamia chadema katibu mwenezi wa wilaya ya Longido mkoa wa Arusha CCM nae kava kombat rasmi na muda huu ninapoa andika Mawazo na makamnda wengine wanaelekea mjini kahama kwenda kungana na makamanda walioko huko wakiendeleza maumivu kwa chama cha majambazi....
mengi yana kuja

====
kwa mujibu wa radio sunrise FM
Vijana wilayani Monduli wamewafanya maandamano ya kumuunga mkono alie kuwa mwenyekiti wa UVCCM James Ole Millya

Ujio wa Alphonce Mawazo
photo.jpg
Breaking News,
Jinamizi la Viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuhamia CHADEMA sasa limehamia Mwanza.
Diwani wa Kata ya Nyampulukano, Jimbo la Sengerema Mjini amehamia Chadema leo hii, Arusha Mambo itakatisha kwa muda matangazo yake kutoka Dodoma na kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja na Diwani huyo kutoka Mwanza.
 
mkuu endelea kutujuza, natamani huu moto uenee kanda ya kati nyanda za kusini
 
katika kikao kilichofanyika asubuhi ya leo na kuhusisha wabunge wa chadema mjini Dodoma kuna habari ambayo itazidi kuishutua CCM na pengine huu ukawa ndiyo mwisho wa CCM Arusha.

Tega sikio hapa hapa JF

Tunatega Baba, tutasikia mengi mwaka huu.

katika kikao kilichofanyika asubuhi ya leo na kuhusisha wabunge wa chadema mjini Dodoma kuna habari ambayo itazidi kuishutua CCM na pengine huu ukawa ndiyo mwisho wa CCM Arusha.

Tega sikio hapa hapa JF

Duuuuuh mbona kazi ipo mwaka huu heeeeeeh!
 
Kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu, ccm kufaaaaaa kufaaaaaa kufaaaaaaa. haya wahudumu mkawaokote wale wote waliodondoka wamesafishika na dhambi na kutoka kwenye jehanamu la CCM sasa wako huru kuingia CDM.
 
Mkuu yaani ni tofauti na hii ishu ya diwani Mawazo ambayo ina hit hapa JF kwa sasa au?!!Kudadadeki...wacha nitoke ofsini ni kaisubirie hii new ishu bar na ki Laptop changu.
 
Shujaa lazima awe miongoni mwetu kama ni lazima tushinde. Tuwe kama kumbikumbi jamani mmoja akiruka wengine tunafuta, jiulize kumbikumbi angeruka mmoja harafu basi au anaruka mwingine baada ya wiki au mwezi ingeukuaje? haraka inatufaa.
 
ndugu unashangaza sana, sijaona yeyote aliyevuliwa gamba na hao unaowasifia. Nape kamvua mtu gani gamba ndani ya CCM? WALK THE TALK MY FRIEND.
Na bado mtaweweseka sana.
 
Mkuu yaani ni tofauti na hii ishu ya diwani Mawazo ambayo ina hit hapa JF kwa sasa au?!!Kudadadeki...wacha nitoke ofsini ni kaisubirie hii new ishu bar na ki Laptop changu.

niagizie ndovu ya moto kabisa na supu ya mkia naja kaka
 
Mkuu yaani ni tofauti na hii ishu ya diwani Mawazo ambayo ina hit hapa JF kwa sasa au?!!Kudadadeki...wacha nitoke ofsini ni kaisubirie hii new ishu bar na ki Laptop changu.
Mkubwa, ni mapema sana kwenda bar saa hizi. Piga kazi, news zitakukuta popote ulipo.
 
Mkubwa, ni mapema sana kwenda bar saa hizi. Piga kazi, news zitakukuta popote ulipo.
Kaka si wote wanaoingiza pesa kwa kusaini kitabu cha attendance kila siku time in na time out.

Wengine pesa zinawafuata bar mwanawane mjini mipango, Wabongo walioajiliwa ni asilimia chache sana wengi ni self employed, kwahiyo unaingia bar anytime na ukiamuwa mipango yote unamalizia hata ukiwa chumbani kwako ili mradi uwe na Internet na simu zote ziwe full credit.

Hayo ndiyo maisha tunayoishi leo hii.
 
Greenstar wewe ndo mnafiki mbona husemi na yule mdosi aliyefadhili mkutano mkuu wa uliopita wa uvccm achunguzwe? kwani yeye huyo hao omba omba hakuwaona? Acha kabisa hizo za kuleta. Sabodo ni muwazi hatoi pesa yake uchochoroni wala kwa vitisho vya kutumiwa TRA........lakini wanaotoa pesa kwa magamba wengi wao ni wanafiki au waoga............long live Sabodo
 
Kwa nini Arusha tu jamani, kwanini sisi Singida mnatutenga sana, na sisi tumeumizwa sana na mashetani wa kijani, we need M4C
 
Back
Top Bottom