Tunaomba Filikunjombe atoe hadharani mawaziri wezi woote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaomba Filikunjombe atoe hadharani mawaziri wezi woote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mirindimo, Apr 19, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Unajua CCM kuna siku mtaaibika na hamtasahau,mnakumbatia sana wezi kumbe mnawajua kabisa wanaofuja na kutumia madaraka vibaya,inahitaji kitu gani kuwaweka hadharani na wakawajibika ? Jipangeni tutawatoa wote pamoja na huyo asietaka kuwataja
   
Loading...