Kupanda kwa gharama za maisha Tanzania, nini kifanyike?

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
Jamani tujadili mada tajwa hapo juu kwa upana na marefu. Ni mada inayojadiliwa sasa hivi ITV...malumbano ya hoja...

Toa sababu za kupanda kwa gharama za maisha na sema nini kifanyike. Pls no jokes if you find you don't deserve to contribute...just pass

Karibuni wana JF.
 
Sababu ni ufisadi, wizi wa mali za umma unaofanywa na viongozi chini ya CCM, Cha kufanya, ni kuiondoa CCM madarakani 2015 na kuweka Chadema.
 
Ondoa ccm weka chadema ili tuanze kuwanyonga wale wooote waliofilisi nchi. Tuanze na m.ka.pa, Rz one, E. Lo.wa....m,ku.lo nk.
 
Tanzania tuna viongozi ambao hawawajibiki kwa wananchi bali wanawajibika kwa Chama ie CCM. CCM haiko kumwondolea Mtanzania wa kawaida hali ngumu ya maisha bali ipo kuwasaidia wale waliotayari kwenye system na ndo maana siku hizi madaraka ndani ya CCM ni kulithishana. Siku ambapo Watanzania wataona kuwa Plan A haiwezi kuwasaidia na kujaribu Plan B utakuwa mwanzo wa kurekebisha hali ngumu iliyopo sasa
 
Hapa soln ni kuyaondoa haya majambazi ccm na kuweka serkali ya watu na Mungu ambayo ni CDM,
 
Sababu ni ufisadi, wizi wa mali za umma unaofanywa na viongozi chini ya CCM, Cha kufanya, ni kuiondoa CCM madarakani 2015 na kuweka Chadema.

Kama kweli tatizo ni CCM, and I strongly believe so, how do we educate people to refuse CCM 2015?
 
Tuwekeze kwenye miundombinu na kilimo japo bei za chakula ziwe stable maana asilimia kubwa ki basket cha mwananchi ni msosi.
 
Government spending is tremendously higher. It should be cut promptly. This strategy should be taken immediately, then other long term measures have to be engaged. That is how I look at it.
 
Nilitaka kuangalia hicho kipindi, lakini upangaji mbovu wa chumba cha mdahalo uliofanya na hawa waandaaji wa kipindi ulinifanya nipate kizunguzungu na kubadirisha stesheni haraka.
 
Government spending is tremendously higher. It should be cut promptly. This strategy should be taken immediately, then other long term measures have to be engaged. That is how I look at it.
a long term strategy could be to have a national economic vision that clearly adresses the need to drive local production of goods as a means to attain economic independence. The vision would have to be enshrined in the constitution so that it can be above partisan politics.

Political parties would be obliged to create their policies around the vision.
 
Sababu ni ufisadi, wizi wa mali za umma unaofanywa na viongozi chini ya CCM, Cha kufanya, ni kuiondoa CCM madarakani 2015 na kuweka Chadema.

Kuna mafisadi na wizi Tanzania hii zaidi ya wachaga> hao wanajulikana hata na mtoto mdogo.
 
Tatizo ni ukusanyaji mbovu wa mapato unaotokana na utawala feki hivyo basi wanapandisha gharama maisha ili kuzuia tatizo la fedha then watanzania tuwe aware pindi tunawachagua viongozi wetu
 
Back
Top Bottom