CHADEMA sacrifices zenu zinalipa saana msiogope matukio! Mnakumbuka Zitto na sasa Lema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA sacrifices zenu zinalipa saana msiogope matukio! Mnakumbuka Zitto na sasa Lema!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Apr 19, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Kama kumbukumbu zangu ziko sawasawa, Zitto Kabwe alisimamishwa bunge enzi za mzee wa speed and standards, Zitto kama sacrifice alizidisha awareness za watu juu ya uwajibikaji katika serikali na kuwa na muono mwingine juu ya siasa za vyama vingi. Matokeo yake CHADEMA ikaongeza wabunge kwa zaidi ya 500% katika uchaguzi wa 2010.

  Sasa bahati nzuri G Lema kaondolewa ubunge na mahakama naye ni sacrifice, hebu tusubiri matokeo nadhani yatalipa zaidi ya wakati wa Zitto, kwa kuwa Zitto sacrifice yake tayari ilibadirisha mtazamo wa watu, hii ya Lema, my opinion itakuja na upepo wa kisurisuri! Nadhani mambo yameisha anza hebu tusubiri muda kidogo, say mwezi mmoja kuanzia sasa.

  Naona kwa mtazamo wangu Thread hii itakumbukwa baada ya muda huo kufikia.

  Nawasilisha.
   
 2. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli ndugu umekumbusha enzi zile............tatizo hawa deal na tatizo but wana deal na watu
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja sana na makamanda Zitto na jembe Lema. Mungu uwatangulie katika ukombozi wa nchi yetu ambayo mafisadi wameitwa na kujimikisha.
   
 4. k

  kaudagaa Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu naona unaangalia alama za nyakati, upo sawa.. wanachama wa CCM 1938 na wenyeviti watano wamejiunga chadema.. na huo naona ni mwanzo tu.

  kuna wilaya naskia zinataka ofisi tu ili watu wajiunge so CDM kazi kwenu.
   
 5. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Kama kuna kitu kinakosekana CCM ni uongozi wenye charisma! Hawaoni mbali, kungukuwa na kiongozi mmoja tuu mwenye charisma wasingekuwa wanafanya mambo mengine, wanajimaliza wenyewe!
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ile ya Zitto mtoto, hii ya Lema kuvuliwa ubunge itasababisha maafa kwa ccm. Mpaka jana bunge zaidi ya robotatu walikuwa interested kujiunga na chadema
   
 7. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Every thing under the sun comes with a unique and special reason! Inaweza ikawa inaumiza lakini malipoyake huwa mazuri saana, Thaz why nimecoment CDM should give themselves a big heart!
   
 8. w

  wajinawangu Senior Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnh!!! sijui kama uko sawa! bravo zito. kaka umewakilisha kaka,dont give up.
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kamua kamanda Lema,pamoja chalii etu.
   
Loading...