Mkataba wa China-Sonangol (CSIL): Majibu aliyopewa Mhe. Zitto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkataba wa China-Sonangol (CSIL): Majibu aliyopewa Mhe. Zitto.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, Apr 19, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Wakati wa kuchangia hoja kwenye mjadala juu ya ripoti za Kamati za Hesabu za Serikali leo tarehe 19.04.2012, kama ilivyo jina lake, Mhe. Nundu, Waziri wa Uchukuzi alionesha nundu na kujikanganya alipoibuka na hoja ya ufisadi wa matumizi mabaya ya fedha za umma kukarabati kichumba kidogo sana cha watu mashuhuri (VIP) pale JNIA...
  [​IMG]
   
 2. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  To be honest na bila kumung'unya maneno CCM MUST GO! Na kuna watu wa kufungwa hapa kibao tu kwa ubadhirifu wa mali za umma na sioni atakaye salimika! JK timua hawa watu wanaifilisi nchi. Lile jengo ningepewa mimi bilion 1 ningejenga zuri na imara zaidi kuliko hilo lililopo sasa na chenji ingebaki!
   
Loading...