Diwani wa Monduli na M/kiti wa UVCCM Monduli ndani ya CHADEMA!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Diwani wa Monduli na M/kiti wa Uvccm Monduli Julius Kalanga ametangaza rasmi kumfuata rafiki yake Nillya Chadema. Kwenye FB yake aliulizwa na mtu fulani kama atamfuata rafiki yake Millya Chadema au la yeye akajibu, siwezi kumwacha rafiki yangu aende mwenyewe huko. Itakuwa pigo jingine kubwa kwa CCM kwani jamaa ni kichwa yaani jembe la nguvu na ana ufuasi mkubwa sana Monduli. Yeye atachukua Monduli, Millya Sumanjiro, jamani Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Umeepua haraka mno mkuu,si ungevumilia kidogo iive vizuri?yaani umenikata stimu kabisa,mi nilifikiri sasa hivi wapo mbele ya press wana repent kumbe facebook?dah!
 
Leta ushahidi tuamini.
Fungua kwenye fb yake kuna jamaa anaitwa Musiba amemponda kwa kujiandaa kwenda chadema lakini yeye hakukanusha ila tu akamwita Musiba kuwa ni fool. Angalia pia sehemu alipouliza matokeo ya chelsea yalikuwaje jamaa amemuuliza pale vipi unaenda chadema ndipo alipojibu "siwwzi kumwacha rqfiki yangu". Unataka ushahidi gani zaidi?
 
We need best evidences kama tamko lake rasmi kwa vyombo vya habari au nakala ya barua aliyoandika na kuisaini.
 
wapi source? mtu yoyote facebook anaweza kujiandikia tu

katangaza wapi kwa kinywa chake?
 
Fungua kwenye fb yake kuna jamaa anaitwa Musiba amemponda kwa kujiandaa kwenda chadema lakini yeye hakukanusha ila tu akamwita Musiba kuwa ni fool. Angalia pia sehemu alipouliza matokeo ya chelsea yalikuwaje jamaa amemuuliza pale vipi unaenda chadema ndipo alipojibu "siwwzi kumwacha rqfiki yangu". Unataka
ushahidi gani zaidi?

Utani wa facebook unauleta jamiiforums. Huku kuna vichwa vitakuuliza maswali kabla ya kuamini
 
Diwani wa Monduli na M/kiti wa Uvccm Monduli Julius Kalanga ametangaza rasmi kumfuata rafiki yake Nillya Chadema. Kwenye FB yake aliulizwa na mtu fulani kama atamfuata rafiki yake Millya Chadema au la yeye akajibu, siwezi kumwacha rafiki yangu aende mwenyewe huko. Itakuwa pigo jingine kubwa kwa CCM kwani jamaa ni kichwa yaani jembe la nguvu na ana ufuasi mkubwa sana Monduli. Yeye atachukua Monduli, Millya Sumanjiro, jamani Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
:doh: Maumivu yA KICHWA HUANZA POOOOLE POLE!!!
 
Back
Top Bottom