Nadharia 30 kuhusu ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nadharia 30 kuhusu ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PMNBuko, Jan 12, 2011.

 1. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 972
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ufisadi unajidhihirisha katika sura mbalimbali kama vile rushwa kubwa na ndogo, ukandamizaji wa wanyonge, unyonyaji, kikundi kimoja kunyanyasa kingine, ubabe wa kiuchumi au kisiasa, biashara haramu (kama vile ya utumwa, madawa ya kulevya, bidhaa feki, biashara ya magendo, n.k.), uporaji wa mali na haki za wengine, demokrasia bandia, utawala mbovu, udikiteta, ajira mbaya kama vile ya watoto, n.k.

  Je, Watawala wa CCM wanatufisadi kwa nadharia ngapi?
   
 2. l

  lwangwa Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pamoja na ujasusi ,ujasusi ni uuaji
   
 3. b

  busar JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Leo serikali imebanwa bungeni,
   
 4. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ujasusi ndio nini vile?
   
Loading...