Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!
 
Toa longolongo mbona we hujasema ulihonga ngapi? zilikuwa ndogo ndo mana hujachaguliwa zingetosha usingesema hayo, wataje ili sheria ifanye kazi yake JF haina unafiki.
 
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!

Pesa unapokea kura unampigia mgombea sahihi, aliye honga unamnyima kura.
Hujasikia falsafa ya Upinzani kula CCM ila kura upinzani
 
Nape Nnauye

Kamanda Hongera sana! Jamaa wanalia nguvu walotumia usipite si mchezo! Capt. Unatisha!! Tunawasubiri Mara!

529254_394121500609269_100000342668655_1315407_2002345511_n.jpg
 
Mkuu William kama wewe ni mpambanaji wa kweli wataje hao wabunge waliochukua rushwa halafu na wewe useme ni wangapi uliowapa................isije ikawa ni frustrations za jana...........we kapumzike @York usije baki@ Dodoma ukajifunza siasa za maji taka
 
- Well, tumeambiwa sana hapa kwamba tujiunge na timu za ushindi huko Upinzani, sasa kwenye kampeni tulikuwa tunaangalia sana kwa makini mwenendo, I mean kuna walio straight hawana muda wa ujinga wapo kama nilivyokuwa ninawaona siku zote, lakini wengine wamenisikitisha sana, hasa the idea niliyokuwa nayo zamani kwamba wote ni wasafi na ni the alternative!

Willie!
 
umetoa sh ngapi pole sana mtoa rushwa
ila umevuna ulichopanda
 
kweli kushindwa hatari , hebu endelea kufunguka... nani alihonga?? Bhanji ?? au ?? we HUKUTOA RUSHWA ??? ofisi za PCCB huzijui ??? acha majungu , kama kweli umekereka, na una nia ya dhati na una ushaidi ... TAJA WAHUSIKA WAKUTOA NA KUPOKEA RUSHWA JAMII IWATAMBUE.. huwa sipendi watu wanao MUNG'UNYA MANENO - COZ MARA ZOTE HUWA NI WANAFIKI WASIOJIAMINI
 
Kwanza nakupa hongera sana kwa kugombea. Huo ni mwanzo tu wa safari na natumaini pia umejifunza mengi, kama hilo ulilolisema hapo juu. Ushauri wangu kwako ni kuwa uanze kujizoeza na siasa za nyumbani, hasa katika jimbo lako linalokuzunguka na hatimaye mienendo ya siasa ya nchi nzima. Baada ya hapo utakuwa umepata muono wa undani (real perspective) ya jinsi siasa zinavyoendeshwa hapo nchini na pia kupima hisia za wananchi/wapiga kura juu ya chama chako na wewe mwenyewe.

Nakutakia kila la heri.
 
Pesa unapokea kura unampigia mgombea sahihi, aliye honga unamnyima kura.
Hujasikia falsafa ya Upinzani kula CCM ila kura upinzani
Ataelewa wapi huyo bado anaweweseka, watu wamechukuwa mshiko wake na kwenye kura katoswa anakuja na porojo hapa JF!!??

Angeakuwa na akili yeye si angejiuliza kwanza kwenye mchujo wa CCM yeye alikuwa na sifa kuliko wale wengine waliochujwa akiwemo Ole Millya ambao wameipigania CCM wakati yeye anabeba mabox New York?

Wellcome Bongo Baharia, uliadhani hapa ni Bronx au Brooklyn!.......umekutana na wazee wa mujini wacha kulia kulia, mwenzio Nape saa hizi anakula bata na Makongoro Nyerere na ameshakudampo.
 
maneno ya mkosaji.nilikua nakuheshimu sana kumbe walio kunyima kura wy anakujua vizuri.kama unajua rushwa imetumika chukua hatua acha maneno ya kwenye fb

- My point ni kama Wapinzani ni alternative kwa sababu mnatuambia sana kwamba ni wasafi.

Willie @Dodoma City!
 
Back
Top Bottom