Wasomi wengi ni waongeaji tu wa mambo ya siasa na si watu wa vitendo

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Wasomi wengi tumekuwa tunashiriki kwenye siaasa kwa kuongea tu na wala si kwa vitendo hasa wanafunzi wa vyuo vikuu.kulalamika na kukosoa ndio wa kwanza.Je? ni mara ngapi umeshiriki kufikisha hoja zako kwa vitendo?mf:maandamano ya juzi hapa Ar asilimia 95 ya waandamanaji tuliokuwepo wote walikuwa watu wa chini kbs na wenye elimu ya chini,wasomi wa vyuo vikuu na wengine walikuwa kama asilimia 5.Sisi wasomi tunabaki majumbani na kushiriki tu kwa maneno bili vitendo.KAZI YA MAPINDUZI KTK NCHI YETU INATUTEGEMEA SISI WASOMI TUACHE KUWA WAONGEAJI TU TUNAWASALITI WENZETU AMBAO HAWAJAPATA NEEMA YA KUSOMA NA KWENDA SHULE.
 
wewe vipi?
ni msomi pia au?
ulikuwepo kwenye maandamano?
Ulipima vipi "usomi" wa watu waliokuwa wanaandamana kwa haraka kiasi hicho au unawajua wote?

Convince me please,ukikutana na mimi utajuaje kwamba mimi sio au ni msomi?
 
Back
Top Bottom