CCM na umiliki wa nchi ya Tanzania

sabas matata

Member
Apr 3, 2012
34
6
Chama cha mapinduzi eti wanajifanya wao ndio mamiliki wa hii nchi ya Tz.eti ccm ina wenyewe na wenyewe ndo ccm,mbona mnapita kuhonga kwa wenye nchi ili mpate madaraka ya kula nchi na kuuza mali zote za nchi hii.watanzania tuamke wakati umefika watawala wetu wanauza mali zetu kwa wakoloni.
 
Back
Top Bottom