Yanayoendelea Arusha; je, yana mkono wa Lowasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayoendelea Arusha; je, yana mkono wa Lowasa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tanzania Mpya, Apr 19, 2012.

 1. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Wah wa JF, ninatafakari haya yanayoendelea Arusha ya viongozi wa CCM kujitoa na kuhamia chadema kama yana mkono wa EL. Kama ni ndiyo, maana yake ni nini? Kwa nini wakimbilie chadema? Je yeye mh EL anaweza kujitoa CCM na kukimbilia chadema? Hebu tutafakari jamani?
   
Loading...