Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
naona wabunge wameanza kuendeleza munkari wao wa jana,hebu ngoja tuone mchakato unavyokwenda
 
Wabunge wa CCM hawapo mjengoni. wapo sita tu, wengine bado wapo kwenye kikao chao cha chama.
 
Naona Mbowe analalamika kuwa wabunge wa CCM wamekimbia wameacha wapo kwenye kikao..na anasema dawa ya nchi hii ni ku overhaul the government
 
Naona Mbowe analalamika kuwa wabunge wa CCM wamekimbia wameacha wapo kwenye kikao..na anasema dawa ya nchi hii ni ku overhaul the government

na deni la serikali limeongezeka kutoka trilion 10-14,hivi hii serikali inawaza kupitia makalio au?
 
Hao wabunge wa magamba hawajui kuwa bunge ni muhimu kuliko vikao vyao,waje upesi bungeni na kikao cha bunge kikiisha warudi kwenye hicho kikao,kikao chenyewe unaweza kukuta wanaambiwa wasiishambulie serikali la sivyo watavuliwa uanachama wa magamba.
 
SHEREHE ZA UHURU ZIMETUMIA BILION 56, hivi inakuja akilini kweli?
 
nyumba yawaziri wa afya imekarabatiwa kwa shilingi milion 480 mi naandamana
 
Hao wabunge wa magamba hawajui kuwa bunge ni muhimu kuliko vikao vyao,waje upesi bungeni na kikao cha bunge kikiisha warudi kwenye hicho kikao,kikao chenyewe unaweza kukuta wanaambiwa wasiishambulie serikali la sivyo watavuliwa uanachama wa magamba.

nadhani wanaonywa kuhusu kuikosoa serikali
 
Back
Top Bottom